@d_roger_dw_2006:

d_roger_dw_2006
d_roger_dw_2006
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 07:46:56 GMT
194135
10213
588
822

Music

Download

Comments

shakila_collections_01
MAMA BILKISS :
mmmmh nimeiskia leo
2026-11-15 10:23:15
10
samwelmazengo5
prof mtemi sam mazengo :
2 Kor 6:14 “[14] Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? ”
2026-11-15 16:52:14
66
melaninie_queen
it's me 🖤 :
ila dini inatuchangany jaman mapenz na dini 😔
2026-11-15 10:42:02
123
user3292624762157
Mom double M😍🦋 :
Mimi wazaz wangu ni wa kristo lkn Nimebadili dini na kua Islamic naipenda sn hii din kutoka moyon na ndo sha olewa na mwislam alhamdulilah 🥰
2026-11-15 16:58:25
49
binti.namtuma
binti namtuma :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] mboga ni ile ile
2026-11-16 04:00:05
0
faithmarijan
faith marijan :
sasa mm mbna nishakuwa binti sayuni 😂😂😂😂
2026-11-15 10:25:47
37
suzzymujong
suzzy mujong :
utamzuia nani kuolewa. people never follow the rules 😅
2026-11-16 04:07:50
0
jas.seif
Jas Seif :
hawa mashehe ndo wanatuchanganya cc
2026-11-15 10:18:39
52
ladykecho1
Lady kecho🍇 :
😂😂😂😂😂😂au sio mboga ile ile eeeh
2026-11-15 11:13:36
38
edinakamaedina3
dina baby :
mwendo wa kumpikia kitimoto na ikiwa ya majani namtilia mafuta ya kitimoto Yani nyumba nzima namwaga mafuta ya kitimoto🤣🤣🤣🤣
2026-11-15 19:37:48
13
rahemh6
Rahemh :
exactly [Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-15 19:23:52
0
massanossano750
Massano Ssano :
ko kumbe din y kiislam inafahm kuwa kuna dini zingin na bado inasema dini ya Allah n uislam mnanichangany
2026-11-15 10:24:42
21
beatricekisoli
Beatrice Kisoli :
hata sisi kwenye ukristo hatufungiwi nira na wasio amini yani imani moja
2026-11-15 19:21:07
9
revocatusgodfrey2
BIG STAR 🌟 :
baas hilo limeisha
2026-11-15 09:48:43
10
rose.masawe2
Rose Masawe :
mtu akimpenda mtu wake mwacheni dini ni mmoja tu acheni kutupotosha
2026-11-15 10:44:28
10
saenyi797
SAENYI :
dini zote ni utumwa wa akili
2026-11-15 19:49:30
0
monzomo
MOfat :
exactly 💯🤣
2026-11-15 19:20:33
0
favy.aira
mimupretty :
bas tusioane tu😊
2026-11-15 14:18:44
7
rastafarian5
Rastafarian5 :
umepiga pale pale kaka
2026-11-15 15:09:59
5
fau82226
Fau :
huo si ubaguzi wa kidini sasa🥺🥺🥺
2026-11-15 10:19:28
5
user4770051815413
kemilembe :
ubaguzi wa dini kila mtu amuoe mtu wa dini yake
2026-11-15 22:51:41
0
chami.brayson
chami brayson :
full stop
2026-11-15 21:36:43
0
anna.massawe70
Anna Massawe :
Mapendo
2026-11-15 20:53:36
0
yuyajr1
Yuyajunior :
kinachoniuma me mkiristo lkn tangu nmejua mapenz napenda waislam2
2026-11-15 17:02:49
0
revocatusrev
revocatus :
kweli kabisa 😄😄
2026-11-15 19:54:51
1
To see more videos from user @d_roger_dw_2006, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About