@ministerb255: 😥😥😥😥😥😥😥

msumbawanga.jr
msumbawanga.jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 07:52:36 GMT
27690
3110
145
77

Music

Download

Comments

konyomziray
⚜️𝖄𝖔𝖚𝖓𝖌 𝕶 𝕰𝖉𝖎𝖙𝖟⚜️ :
he is the GOAT bro🐐
2026-11-22 15:36:40
0
dadi.jr68
مقداد علي محمد 🔥🔥🔥 :
Kam ni shabiki wa Ronaldo sema siuuuuuuu
2026-11-15 10:27:54
49
mpethotrastaction
mpetho :
cr7 mpira hajui
2026-11-15 16:33:24
4
saidmnunga75
monitor🫅✨✨ :
sawa Cristina ndy mfungaji Bora wa muda wote lakini Messi ni mchezaji Bora wa muda wote Yani Kila kitu anacho.ronaldo ana roho ya choyo ndy mana wenzake wakina Bruno na bernado hawamtaki
2026-11-15 19:32:01
1
user5170546121903
Official paul🇹🇿 :
Yan bila kumfanyia Ivo Ronaldo saiz angekua ana magoli 3000 so fifa walikaa kikao ni jinsi gan ya kupunguza Kasi yake ila wameshindwa ila Cr7 ameshindikana uyo mtu😁😁😁😁🙌🙌🙌
2026-11-16 18:31:32
6
ivanoscar36
Ivan Oscar :
🤣🤣🤣 mnaangalia hizi clips zilizo unganishwa 🤣🤣 kaangalieni full match huyu anajiangusha anataka penalty
2026-11-15 14:24:30
0
saidibeka759
ORIG NI FIRE :
dilisha dogo tunakusajili yanga
2026-11-23 21:15:21
1
itistheboychata
CHATA WA lupz 💯🥰💯💲🇵🇹☠️💥 :
goat nimoja RONALDO
2026-11-16 08:10:35
5
hastler.77
HUSTLER :
mess is goat
2026-11-20 22:48:14
0
agssprocket160
CCs sprocket 160 :
i am a messi fan ..but illa kweli wamemuonea ...
2026-11-16 13:12:58
3
user911555483660
OLISE WARAJA :
nakubal kaka
2026-11-17 04:10:58
2
emmy.de.cute6
Emmy de cute💋 :
WANAMUONEA🥺🥺
2026-11-17 18:42:07
1
gfm.boy7
Gfm boy7 :
inaumiza sana bro
2026-11-16 09:26:31
3
gwamakasamwel
👑 king G World :
cr 7 forever
2026-11-17 13:31:46
2
hossamomary5
꧁ঔৣHOSSAMঔৣ꧂ :
nakukubali
2026-11-15 18:42:01
2
josephsukura776
Joseph Sukura :
Goat 🐐 Cr7
2026-11-16 12:34:13
2
alexandersamson142
Alexander Samson :
siuuuuuu
2026-11-15 19:09:34
2
saidmnunga75
monitor🫅✨✨ :
anajitupa kweli bhna anacheza kwa mazoezi lakini Messi anacheza kipaji
2026-11-15 11:53:43
0
sulaimanmohd855
dan OLMO tz :
CR777777777777
2026-11-19 05:32:14
1
user722850392705funny
zungu :
kwerifamiria
2026-11-16 13:38:05
1
dirunga8
dirunga :
siku zote mfalme bora ni yule anazungumziwa kwa mabaya na mazuri Ronaldo ni mtu mwenye mapenzi na Tim yeyote anayoenda ni mtu mwenye kujitoa na anaga ubaguzi labda umzingue ndo atakwaadhibu kwa namna anayotaka yeye
2026-11-17 11:36:50
1
last.born.gwax45
LAST BORN GK GWAX 45 JR :
siuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu 💪💪💪💪💪💪💪💪
2026-11-16 09:22:35
3
fransaimemes1
𝔽𝕣𝕒𝕟'𝕤 𝐀𝐢 𝕸𝖊𝖒𝖊𝖘 ⛎ :
mpk world cup anayo broh 😂🤣🤣🤣
2026-11-15 10:03:49
1
godliving_alex
Godliving Alex :
changamoto ukiwa mtu wa kujitupa mda mwingine ata kama umeanguka kweli hupewi haki yako
2026-11-15 11:08:10
2
To see more videos from user @ministerb255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About