@islamic_rihla: Tabia zako zinaweza kuwafanya majirani wafurahie uwepo wako au watamani uondoke. Kuwa jirani mwema, sitiri aibu za wengine na saidia pale unapohitajika. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH OTHMAN MAALIM 🔸 Follow Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yatakayokuimarisha katika imani na kukukumbusha mema kila siku. ❤️ Like • 📤 Share • 🔖 Save 📌 Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #JiraniMwema #TabiaNjema #Uislamu ✨ FOLLOW US