@mtotowamtwara1: MTWARA RAHA ↔️KIPINDI HICHO CHUMA IMEACHA STORY TU SAIVI🫡🫡🫡

Mtôtô wâ mtwárá👊
Mtôtô wâ mtwárá👊
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 09:27:15 GMT
4568
257
54
9

Music

Download

Comments

smasha.tz
MEDY TILES STORE :
Chuma ilikuwa inaenda na kurudi 👏👏👏
2026-11-24 13:36:54
1
wabichisupplier61
Wabichi Supplier :
sijuwi italudi tena hii Gali
2026-11-24 16:37:10
1
user8240221036629
mtika :
basi ya kwanza kwenda dar na kurudi mtwara one day
2026-11-16 18:15:09
4
mudy.somo
mudy somo :
Mashine ya AZARAM
2026-11-23 09:18:34
1
salmunandinge
salmundinge :
iyo chuma dar ikienda na kurudi yaani ijawai kutokea nyingine tangu iondoke
2026-11-16 08:29:13
3
amirulivene1
amirulivene :
kaka tuletee hamanju mashineya kazi
2026-11-20 08:57:49
1
amirmuhidin5
SAFG :
Ntwara raha hi chuma noma sna ilikuwa inageuka kipindi barabara haiko vizur i
2026-11-21 17:52:37
1
abduliahmad6
ABDULI AHMAD :
Akida vip na Sauzeni na Amanju
2026-11-17 16:10:33
1
nampanjuly
Nampanjuly tz :
mashine ya kazi
2026-11-17 21:31:23
1
ibraahkhatau2020
☠️😁😁ibraahkhatau2020😁😁☠️ :
chumaaa iyooo 😁😁😁💥💥💥💥💥
2026-11-16 17:10:49
2
karimu3367943638
key :
tulikuwa tunasubilia asubuhi tunaenda shule iyo chuma aiachagi wanafunzi waliosoma mikindani mitengo
2026-11-17 14:43:59
1
maruzuq.vitambaa
maruzuq vitambaa :
watu walipunguza luti za ndege wakawa wanapanda iyo chuma
2026-11-16 21:30:04
1
abduly.mwamba
Abduly Mwamba :
Iyo ilikuwa inaenda dar na kurudi siku iyo iyo,,nilijua ziko mbili kumbe moja tuu
2026-11-16 17:32:27
2
saidychampion
ally saidi champion :
duuu iko wapi hiii
2026-11-18 08:40:33
1
user1571336137479
abuu :
ndege ya chini xx 2likua 2naiita [Fire][Fire][Fire][Fire][Fire]
2026-11-16 19:07:32
1
muhajimuhsin
Mouh_tza :
hii chuma hatar xna daah
2026-11-16 14:51:18
1
bab_suletz
bab_suletz :
chomboo iyooo ilikuwa ya moto sana
2026-11-16 09:05:57
1
deshan017negeso
magnitude_zero% :
dereva alioa mitaa yetu pale mtawanya milumba hatari hii gari
2026-11-16 19:51:53
1
twaibu.saidi7
Ts Oliginal :
dah
2026-11-16 09:02:08
1
hamadcopper
Hamad Copper :
hii ilikua zaidi ya akina Barcelona,baraka na wenzake akina maning nice,huu ulikua moto wa kuotea mbali😅😅😅
2026-11-15 10:26:39
1
shayhan.shayhan
shayhan & shayhan :
chuma ilikuwa masaa mbele go And litan Acha kabisa hana mpinzani 🥰🥰🥰
2026-11-15 15:55:03
1
riadhwarwambo
iznour :
mwingine huyuuu🔥🔥🔥🔥
2026-11-15 17:41:54
1
walambishidozedoze
texas 55 hom sio safi :
aitokea chuma kailoooo mzeee
2026-11-23 11:09:00
1
fadhilseif1
Fadhilseif :
Habari yake iliishia pale kiranjeranje🔥
2026-11-18 18:27:44
1
suleymanmuunguja0
sule 5 :
hiyo mashine achanayo ulikuwa inawafunika wote
2026-11-20 15:53:09
1
To see more videos from user @mtotowamtwara1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About