@mauabahari: Wewe ni ECO: ACHANA NA EGO ULIYO PEWA NA JAMII: upo kwenye mzunguko wa KUHITAJIKA NA KUHITAJIANA NA VIUMBE VINGINE, tena wewe una vihitaji haswa kuliko vinavyo kuhitaji wewe ๐ซข๐ . JE WAJUA ASILI INA KULISHA ILI SIKU MOJA IKUKULE? ๐#asili #decomposer
๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐhii imepenya kweny ubongo moja kwa moja
2026-11-15 17:29:52
1
Bi Amina KPMโ :
Yaani mie now dys naheshimu kila kitu hadi nikiwakuta sisimizi nawasalimia kwa adabu[Pray]๐ฎโ๐จ
2026-11-15 13:19:06
3
own universe :
we are NATURE, NATURE IS US,
2026-11-15 17:54:53
0
Oliver Mfinanga :
๐๐๐hata kwenye mahusiano huu msemo wanaume wengi wanapenda kuutumia ety mwanaume ni mtawala kwa mwanamke wake ๐๐๐๐
2026-11-15 12:36:20
0
George choka :
UMEFIKIRI CN DADA. HONGERA. ZAKO
2026-11-15 22:20:00
0
Khamiss Juma :
Mh nomaa
2026-11-15 21:48:55
0
fahari_cakes :
Au ndo maana iloyopo nje ya msemo wa Mla vya watu na vyake huliwa๐ค
2026-11-15 15:25:18
0
Simith :
Itakula mwili wangu ila sio mm bana
2026-11-15 11:14:40
0
joh :
very true [Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-15 12:21:06
1
DARK ROCKY :
nimejiuliza Jana mauwa akwap Leo nakuta post Yako
2026-11-15 18:21:37
0
Ptah_Hotep III :
ni kweli kabisa
2026-11-15 21:16:29
0
Enea happy :
Asante kwa kulisha akili yangu elimu kwaupana zaidi ๐ฅฐ
2026-11-15 11:32:55
1
jicholahekima :
dada angu wewe nakukubali sana
2026-11-15 18:58:26
0
Sede255 :
sema una akili mwanetu
2026-11-15 13:53:34
0
Tito :
poitn
2026-11-15 18:09:52
0
Zaituni Daddy๐ฅณ๐ฅฐ :
hakika
2026-11-15 19:07:27
0
MAINA VISION BUILDER :
kweli dada
2026-11-15 11:28:55
0
Mulan_ cosmetis_arusha :
Haswaa
2026-11-15 11:19:19
0
Inno :
tunakulana ni kweli
ila bado mtu ndo mwenye uwezo wa kuongoza viumbe wengine na kuvitumia
2026-11-15 12:57:06
0
Bi Amina KPMโ :
maneno mazito sana haya kwa wenye utambuzi [Pray]
2026-11-15 13:19:48
1
Kia Haute Couture :
Toka mdogo naonea huruma vitu zote hadi sisimizi nikimkanyaga nilikuwaga nalia namazishi juu mchicha naogopa kuchuma yaan huteseka na hiyo hali lakin Maua njaaaa yaan njaaa mama Ila naumia uwiiiiiii๐๐ฅน kama kuna namna ingekuwa hatulani basi me nisingegusa kitu๐
2026-11-15 18:27:14
0
Black :
Halafu we da Maua wewe!
2026-11-15 17:59:55
0
patlaโค๏ธ :
Vp anaechomwa
2026-11-15 21:04:50
0
To see more videos from user @mauabahari, please go to the Tikwm
homepage.