uislamu ndiyo dini ya kweli hamjachelewa bado karibuni
2026-11-16 09:45:21
52
Uncle Lastborn :
"Watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa"....Nachoka Lastborn mm
2026-11-15 15:17:46
48
Silvia Mengo :
Unaangaika na watu ambao awaangaiki na ww
2026-11-16 09:20:19
9
Jumannecha🇹🇿tz💖 :
waislamu takbir
2026-11-18 11:20:18
9
Love my self :
wakatoriki huwa wanamsemo wakimaliza misa wanasema FUMBO LA IMANI hiyo sentensi ni fupi lkn inamaana kubwa ukiichambua vzr ndo utajua ukweli penkgine hata kanisani unaweza usirudi
2026-11-15 17:56:45
30
mtonga hasheem :
🤣🤣🤣🤣kama anapoint vile
2026-11-15 19:21:21
34
athumani singano :
waislamu takbir ukweli usemwe
2026-11-17 09:23:21
5
liwalo naliwe :
mm mwenyewe sielew kivipi sasa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-16 15:23:22
1
frank :
Sio Single Ungesema Single Boy
2026-11-16 05:24:15
17
Dark sauras :
Ukitaka usitake hii ni fact[Perfect score]
2026-11-16 14:28:59
3
Sharifu Idrisa :
kama Kuna ukweli vileee ngoja tutulieee tutadkia mengi