umenitwisha subira mzigo wanilemaza😮💨 na we waona ishara dakika sitomaliza😒 ili nipate nusura nayaomba maliwaza🤕 japo yawe yazarura moyo wako husemeza😮💨 nisubiri hadi mimi hadi lini 😩... heri ungenipa muda yajiri hayoo kwa nini?!😩 usiwape watu faida niweke mwako moyoni❤️kwamba nina pata shida😢