@orbit.securities: “Watu wengi tunakosea namna ya kuhesabu faida” Mazungumzo kamili yanapatikana YouTube kupitia account ya @orbit_securities na link ipo kwenye Bio! Kupitia mazungumzo haya, tunakuletea maarifa kuhusu fedha, biashara, uwekezaji na fursa zilizopo katika masoko ya mitaji. 🤝 Mazungumzo haya yanaletwa kupitia @orbitmultiassetetf Orbit Multi-Asset ETF ipo kwenye dirisha la IPO (Initial Public Offering). Hii ni fursa ya kujifunza zaidi na kushiriki katika uwekezaji kupitia mfuko unaowezesha uwekezaji katika rasilimali mbalimbali, ikiwemo DHAHABU, S&P 500, BOND, and Stocks. Kwa maelezo zaidi kuhusu IPO, tembelea @orbit_securities Wekeza kwa maarifa. Jenga kesho yako. #OrbitSecurities #OrbitMultiAssetETF #OrbitMoneyTalks #Uwekezaji #DSE #FinancialLiteracy
Orbit Securities
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 16:00:00 GMT
Music
Download
Comments
Thuma Junior :
sku hz kila mtu ni mshauli ya kiuchumi,
2026-11-16 16:35:28
2
donstrucksolution5 :
Kabla kwenda kununua product unatakiwa ujue movement yake sokoni na bei ya sokoni alafu sasa ww ndo unaenda kutafuta either uje uuze kwa bei kama wengine au uuze chini ya hapo
2026-11-16 09:45:33
1
@marry_ladies_fashion :
Hawa washauri wange fungua na wao maduka wakishauri washauri kwa vitendo
2026-11-19 16:10:01
0
edeni1 :
faida haipo pale ambapo umenunua bei fulani ukajumlisha USAFIRI na kila kitu alafu pesa utakayoitoa ikabakia Bado siyo faida kwanini unaweza uakanunu a kitu 7,000 kwa wakati huu ukienda kununua kwa mara ya pili Ile Ile saa ukanunua Tena kwa 10,000 tsh hiyo saa utakuwa haujapata faida utakuwa umepata hasara ya buku tatu ya USAFIRI kwahiyo sasa faida inaonekana pale ambapo utaenda kununua bidhaa Ile Ile kwa mara ya pili kama ukinunua kwa bei Ile Ile ya kwanza utakuwa umepata faida kama other wise no faida ukinunua kwa bei ya chini zaidi utakuwa umepata faida zaidi
2026-11-16 15:24:32
2
MCKIBONDO 🇹🇿 :
🔥🔥🔥
2026-11-15 16:04:49
1
Rasam Rasam :
🥰🥰🥰
2026-11-17 17:51:40
0
Dervish Baba :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-16 17:39:07
0
SAFARI BEST STORE :
💯💯💯
2026-11-17 12:35:49
0
To see more videos from user @orbit.securities, please go to the Tikwm
homepage.