@zanzbartz: WATU WA KINUNI WAMEKUTANA WAHUNI WA KIKE😂

mpemba _boy
mpemba _boy
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 15:59:29 GMT
39936
1097
211
501

Music

Download

Comments

ayam_eibrab
ꪑ✨ꪖ🌻ꪗ💍ꪖ🎀᥇💄ꪖ💎ꪹ👑᥇💅𝓲👗ꫀ :
ila uyu khaaaah 😂😂😂😂
2026-11-15 22:44:25
31
user352802729044
mac allister :
ila wapemba wakishibaa
2026-11-15 20:33:58
34
fabir574
FÆBǏŘ🦅BOY🕸 :
zanzibar njem atakae na ajeee😂😂😂
2026-11-16 03:25:47
9
duka_la_vyombo
Duka_la_Vyombo :
Gari hii me nisingeshuka mpka mwisho wa kituoo ata kama nishafika🤣🤣🤣
2026-11-16 02:50:35
8
user9743638549054
latifa :
weee jiheshimu wapemba tuna heshima zetu ao so wapemba😊
2026-11-16 04:09:12
4
med_master001
Mo maestro :
Zanzibar ni njema atakae na aje
2026-11-15 20:37:53
44
binallyashani532tz
Bin Ashani tz% :
Kwn derev mwenyew anasemj
2026-11-15 20:52:37
9
aysal..12
miss pr£tty❤️🫂 :
Subhanallah 😢 Allah atusaidie😭Allah atulinde na awasemhe hamujii mutendalo 😭😭
2026-11-15 20:24:31
13
azizah.said25
A_z_z_u_h🦋🕊️🍂 :
Iyo lini iyooo😁
2026-11-15 20:53:18
8
mrsunkowon1
Mrs A❤️ :
Mbon sjaiskia hii kwny Mawio 😂
2026-11-15 20:53:45
17
abubakarmakame10
abubakarmakame10 :
Ao wot wachumba t
2026-11-15 21:36:29
0
baby.emmy677
Baby emmy :
mie nilikuwepo ngonja niwaambie ilivoonza
2026-11-16 04:39:53
0
mamyyanglee3
mamyyangle22 :
mm ndo uyo nilovaa mtandio wa bluu na kiremba cha orengi😳😳😳
2026-11-15 21:09:47
5
barkatbinda
FX〆VANGU-GAMING 🎮 :
part 2 hamna😂😂😂
2026-11-16 03:53:34
3
azalishazmohd
Famomu 🥰 :
Sasa uwo mziki wa nini jamani mm sisikii uzuri jamani 🙄
2026-11-16 03:58:02
0
mo.dizzo5
Mo Dizzo :
Daah hii ndio Zanzibar kwel hawa ndio wazanzibar kwel tunaenda wp tumefika wp mtihan mzito huu wallah mungu awasameh sana hawajui walitendalo🥺🥺🥺
2026-11-15 20:32:39
17
brown_girl0_
Brown_girl🤎👑 :
me wanmk naijuw mipaka ya mdomo wng mung ninusuru km hiv ata nikiw na hasira nikumbushe 🤲
2026-11-15 20:46:33
12
njogope21
njogope :
dah nmedisa huku kun jin nmerisikia jamn
2026-11-16 03:33:43
0
ramadha123
ramadha123 :
Innaalillah wainaailayhi raja uun 🤔😢
2026-11-15 21:33:32
5
wahida46952
wahida :
aibu naona mm dah
2026-11-16 03:59:29
0
rastanenga
mr propaganda :
iyo lini iyo
2026-11-16 04:04:17
0
hythan24
Hitham🧡🤎 :
tuhadithie ilikuwaje😂
2026-11-15 20:50:57
2
kmahfoudh2
Kmahfoudh :
Amesema Mtume s.a.w " Si mwenye nguvu mwenye kupigana mileka, mwenye nguvu Ni yule anaeizuia nafsi yake kutokana na ghadhabu" Wallah mmoja wao angeamua kunyamaza kimnya asingepungukiwa na chochote....angelishuka japo kituo kinachofata wallah 🥺🥺🥺🥺🥺 mnadhalilishana Kwa matusi namma hiyo... subhanallah
2026-11-16 01:59:23
4
zaujaty.yahya
zaujaty yahya :
me naiman hmn lisilozungumzika na watu mkaelewan tu vzr nivil kutojielewa tu kuzoea aibu.
2026-11-16 04:11:58
2
ashurasimai990
Ashura Simai :
lailahailawah inalilahiwainailaihirajiun [Teary eyed]lahaulawalakuwatailabilah 🥹khusnulhatma ya Rabby 🥹ya Allah tupe nusura ktk haya mapito watoto wamajidhalilisha kiasi hichi duuh subhanalah 🥹😔
2026-11-15 21:27:19
4
To see more videos from user @zanzbartz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About