@amisimbk1:

Amisi Mbk1
Amisi Mbk1
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 15 November 2026 16:06:58 GMT
13829
647
55
19

Music

Download

Comments

sherry.nyange
sherry nyange :
mama monika😂😂
2026-11-15 16:33:04
2
user684712161617
user684712161617 :
HIVI MTU AKICHOKA AKAONDOKA BILA HIYO TALAKA KWA AMANI YA MOYO WAKE NINI MADHARA YAKE MAANA HII TALAKA NI TATIZO KWA WENGI
2026-11-15 16:48:26
2
farajaabdallah729
ma Afsah &Asfath :
si umuache hata kama anataka uhuru muache umemzaa wewe
2026-11-15 16:29:13
3
warid.victory2
Warid victor :
ivani mahusiano hayalazimishwi mtu akisema anataka Talaka apewe
2026-11-15 16:51:10
1
user83522878166815
user83522878166815 Hiyamu :
Napenda mwanaume akiwa analizwa na mapenzi 😂😂🤣
2026-11-15 18:19:18
0
bensonjonson339
Benson Jonson :
hata majina ya kina imma Yana shida
2026-11-15 17:30:40
2
amarabeiby2
💖💖It's Amara 💫💫 :
jamani huyu dada wa watu mueleweni tu jamani mana anachopitia anakijua yeye muacheni
2026-11-15 16:26:28
3
georgeikuo
khumb :
apo shida nn kaka achananae ata ukisuluhishwa amtakaa kwa amani
2026-11-15 17:02:44
2
strongmama793
Sakina Masare :
Ni bora aende jamani amani ni bora kuliko kusuluhisha moyo wa mtu ambao umechoka jamani huyu jamaa akubali kuachwa
2026-11-15 16:15:52
3
dee89711
dada dee❤️ :
pole dada
2026-11-15 16:23:11
1
lovesallu2
lovesallu47 :
Si umpe Uhuru Wake sasa
2026-11-15 19:06:58
0
user2986953017961
madame shine :
yaani mwanamke akichoka daaah
2026-11-15 19:19:14
0
user1786860581992
gloria :
Ila kwani nilazima talaka?? Si aende tu jmn!! Make waondoke mana watauana jmn
2026-11-15 16:57:34
1
ziada.milinga
Ziada Milinga :
ima muache dada wawatu aende akawe huru
2026-11-15 18:27:33
0
merugal1561
dee♥️ :
mama Monica nimependa pochi yako
2026-11-15 18:34:54
0
user4003365923159
mupama namikaba :
hatari sana Wana ndowa
2026-11-15 20:45:01
0
rechohashimu1
Recho :
hapo Kuna mambo haya ✌️
2026-11-15 16:21:57
0
magreth.jovin2
Magreth jovin :
duh!
2026-11-15 18:56:48
0
kp95166
kp :
si umuache
2026-11-15 17:44:18
0
flaziam
flaziam :
Yaani huyu mdada ameshachoka na hiyo ndoa mpaka. dakika za mwisho waachane tu jamani
2026-11-15 16:49:01
0
eunicesamson742
madam unique :
dah... na huku ni Emma
2026-11-15 20:53:03
0
lee0807515
Lee0807@ :
Ndoa ndoa ndoa jmn naogop mie🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-15 17:45:23
0
shaibsalum7
shaibsalum7 :
sasa bro hutakiwi kwnn unafos shida inaanzia hapo achana nae bana
2026-11-15 16:59:49
0
swaumu0708
swiam abas :
duuuuu Kwan kaka angu sii ukubali tuu kuliko dhalili
2026-11-15 17:14:15
0
the.peace.one
the peace one :
Hahahahahah jamani hiyo lini hiyo hiyo Leo hiyo uwiiii
2026-11-15 16:29:32
0
To see more videos from user @amisimbk1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About