@historia.yetu.tz: TABATA ZAMANI 🔥😂 Muhindi alishindwa kusema UTAPATA, akasema TABATA - na jina likabaki hadi leo! Hii ndiyo Tabata ya zamani, duka la Muhindi, mtaa wetu, watu wetu. Wewe ni wa Tabata gani? 👇 Tag mtu wa Tabata #Tabata #TabataZamani #DarEsSalaam #AsiliYaMtaa