@eliza_cakes_tzkimara: Leo tunajifunza namna ya kutumia glue gun kuweka stickers kwenye keki kwa mpangilio mzuri. Je, umewahi kutumia njia hii? NOTE: Hakikisha gundi ya moto haigusi keki wala sehemu inayoliwa; itumie kuunganisha kwenye toothpick au kijiti cha mshikaki ili isiguse chakula moja kwa moja. Call/whatsapp:0620747874 Delivery tunatuma popote Tunapatikana kimara temboni/kimara b Karibuni sana