@immaculateconsolata: #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #foryoupage #viral

Consolata Immaculate
Consolata Immaculate
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 15 November 2026 17:33:57 GMT
39975
1273
292
135

Music

Download

Comments

kevinotieno512
Brother Kevin :
GOD BLESS YOU FOR THIS MY SISTER 🙏
2026-11-16 05:44:50
0
yesebarnabelefils
Yese Barnabelefils :
A nasema kweli
2026-11-15 18:03:06
5
khamisi9341
khamisi :
jamani mbona hajasemea guests ziko Kila sehemu jamani ??? mbona guests ninyingi kuliko makanisa nimakosa ACHA kanisa zijengwe:
2026-11-15 20:10:50
5
mkudemoro600
Mkude Moro :
mkuu wa mkoa Yuko sawa
2026-11-16 05:05:19
1
saulijofrey
saulijofrey :
makanisa.yamekuwa.mengi.kwasababu.injili.ihubiliwe.kilamahali.YESU.akija.mtuasije.kusema.sikusikia.injili
2026-11-15 21:06:49
6
danielmwaipaja71
Daniel Mwaipaja :
guest vp
2026-11-15 23:20:48
0
user9536256754848
mrs joshua :
nawakumbusha tyu ,,ni nyakati za mwisho tuombe
2026-11-15 18:40:47
12
elly.charmy
Elly charmy :
basi na shule ijengwe moja watanzania wote tutakuwa tunasoma hapo.
2026-11-16 04:32:58
0
imma.masai1
imma :
Kwan we ulitakaje
2026-11-16 03:17:28
1
officialwinlady
@officialwinlady :
kristo aje tu yesu arudi tu
2026-11-15 21:18:23
1
user3823805858749
Musa :
msichukie Makanisa kuwa mengi kikubwa wahubiri Yesu anarudi basi
2026-11-15 20:41:37
1
ally.mnywaki
Ally Mnywaki :
kwani mungu hanamuita mtu Ili awe mchungaji waache tamaa za fedha na wanaotoa fedha sijui wanaelewa nn
2026-11-15 23:39:56
2
annastacia629
annastacia :
Kabisa unapata unapata unazungukwa na 12 churches
2026-11-15 18:48:06
2
jacklii8
jacklii :
kwahiyo mnataka vilabu na baa ndo ziwe nyingi si tumshukuru MUNGU kwa neema hiii kwasababu kuna mahali wanatamani makanisaa hawayaoni wala hayapoo ...yaani usichokijua MUNGU anakusaidia wewe na siku ukifika hukumuni utaambiwa kanisa lilikuwa upenuni na haukwenda hutakuwa na sababuu ya kujitetea siku hiyo
2026-11-15 20:46:39
1
shedo5964
shedo :
kama hapa mtaani mtaa mmoja una makanisa maane wakiaza kupiga makele sasa hakuna kulala
2026-11-16 00:06:46
0
user3916014687129
tumaini phiripo :
tuko nyakati za mwisho yani mpaka nyumba za Mungu zinaanza kuitwa uchafu duuuu
2026-11-15 21:14:49
1
murerepallangyo
Murere Pallangyo :
wapi maandiko yanasema makanisa mengi ni makosa
2026-11-15 21:15:17
0
josephimbele
Joseph Imbele :
acha yawe mengi hujasikia kwamba siku za mwisho Injili itahubiriwa hata kama ulaya yapo tofaitisha kanisa na Injili injili inafaa kwa wote ,, huko kwenye Dini ,, Yesu aliwatuma mitume maana ya mitume ni kujenga makanisaa
2026-11-15 21:13:32
0
yusuphoficil_110
Yusuph Masomhe :
Kwa hiyo Sheria inasema mwisho makanisa mangapi? 🤔
2026-11-15 20:45:58
0
mwamvitabahati
mwamvitabahati :
Kabisadada♥️♥️♥️🙏🙏🙏
2026-11-15 19:16:10
2
masikin.jeuri1
masikin jeuri :
yesu tusaidie
2026-11-15 18:10:26
3
user7659615581614
sarahmichael :
ata yawe mia hakuna shida bora yanasaidia sana
2026-11-15 20:06:00
1
user4767257069080
muombwa :
siku hizi makanisa yamekuwa biashara kuna jamaa anamakanisa 8 na anasema kila jumapili anapokea sadaka inamanisha makanisa ni biashara na sio nyumba ya ibada
2026-11-16 05:31:53
1
operator.kennyone
Operator Kennyone :
tunaomba na Bar na clubs mzitoe
2026-11-15 22:02:27
1
user2292538167407
Emanueli Toy :
kaongea kweli dada so uwongo bhana makanisa yana kera sana mim mkriato lakin nikweli
2026-11-16 05:06:28
0
To see more videos from user @immaculateconsolata, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About