@minobongo25: @pipytida_officially amesema kuwa mpenzi wake wa sasa hawezi kumuoa kwasababu anajiheshimu sana .

Mino.Bongo
Mino.Bongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 19:01:17 GMT
143949
9013
239
321

Music

Download

Comments

user3569401331509
miss vibes :
SIO HAWEZI KUKUOA NI MME WA MTU
2026-11-15 19:31:52
536
hellenlesantu
ELLEN💃🏽💫 :
Akili inanituma ni waziri wa 😂😂😂😂💔
2026-11-15 20:34:59
13
aneth.elias67
anethy 💋🌹🌹 :
Hali ya mahusiano ya pipytida ndo kama yangu
2026-11-15 19:42:48
208
ennie818
Ennie♋ :
Mpnz wake ni mheshimiwa
2026-11-15 19:34:52
212
user169431770186
21st November 🎂💸🎁 :
kwahyo wanaume wenye heshima hawaowi si ndio
2026-11-15 19:43:24
62
kiyeyeu2
kiyeyeu :
Ana heshimika au ni mme wa mtu
2026-11-15 20:05:29
72
nana111316
Nana😍 :
kuna namana pip anasema ukweri bhana 😳
2026-11-16 03:52:44
7
mariamemmanuel2gmail.com
Mariam Sengerema :
ni mheshimiwa mwenye family yake
2026-11-15 19:58:11
75
user9948668210960
angel&&n :
anasauti kama ya zuchu jmn
2026-11-15 19:42:02
16
husseinmohammed5196
husseinmohammed5196 :
Ndoa ndio heshima Dada
2026-11-15 19:11:20
43
iamsarh55
Sarh🩷🌸🦋 :
Sasa ndo nn 😂😂😂
2026-11-15 19:07:19
51
shaazy804
Shazzy804🦋 :
Deep down nataka husiano la ivyo😂😂🏃‍♀️
2026-11-15 21:26:49
7
user91569410726608
user9156941072660 :
Aliwahi sema live anaaibu ni kweli na haiba nzuri ya kike mashallah[Heartwarming]
2026-11-15 19:29:27
30
nasradenis
Nasra Denis :
msemà ukweli mpenz wa mungu
2026-11-15 19:57:25
25
twins.nono
Twins Nono :
Naisubiri hii challenge 🤣😂
2026-11-15 20:03:37
6
jayline_41
Jayline🦋 :
Amna banaa atakuoa usikate tamaa dear
2026-11-15 19:10:22
16
mama.nayrath.hashi
mama nayrath hashim :
mmmmmh
2026-11-16 04:54:24
0
annieaugustine24
annie😘🥰🇹🇿 🇦🇺 :
mchepuko wa mheshimiwaa safiii
2026-11-15 20:03:40
6
joy.mbosso
p0unD&d0lLãRS :
Kwer wanaojiheshim hawaoi
2026-11-15 19:54:31
6
husseinmohammed5196
husseinmohammed5196 :
Heshima itakuwa Kwa wote wawili
2026-11-15 19:33:49
5
mahija472
Ms Mahija🦄 :
aghaaaaa😂
2026-11-15 19:23:55
6
glorymushi619
chagga girl❤️ :
watu wanang'ang'ana n mume wa mtu kuna wanaume wengine wako single na tayari wameshajiposition vyema kwenye jamii kwani tuwaulize wenzetu kila aliesingle anawaoa??? kakubali sababu anajua mwenyew pia amejiposition vibaya so sio rahisi kumpata mtu ambae atakuwa tayari kupoteza fame yake n wanasaidiana
2026-11-15 21:46:11
5
aminasalum587
binti salum💞💞💋 :
mmmmmh jamn😂😂😂
2026-11-15 19:06:37
10
miss_anjoury
🥀Miss Anjoury🥀 :
wacha nitafut mt wngu mmoj mweny heshima😂💔aninunulie nyumb na gar na maviwanja😌
2026-11-16 03:16:00
0
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About