we jamaaa jaman jaman muonen huyuuu 😂🔥 oyaaa Hiyo hatariii hyooooo😂😂😂😂😂🔥
2026-11-16 09:57:59
295
⚔️ Dizzoh ⚔️ :
kwan we unataka.....
2026-11-16 11:40:58
68
Xtiv official :
oyaaaaaaa weeeeee
2026-11-16 10:16:14
80
MATOZZY_KARIAKOO🇯🇲🇹🇿 :
🙌🙌 camera man hatari iyooooo😂😂😂
2026-11-16 08:03:23
88
Paul steve :
kun mmoja kule sangasanga alikua anakatisha kwenye kijiji jiran sasa hadi ufike uko lazima upite jeshini kuna geti unafunguliwa unapita ndio unaenda sasa yeye akapita na pikipiki 🏍️inamziki akasimamishwa oyaa aliambiwa acheze hadi zile nyimbo za kwenye flash ziishe
2026-11-17 06:55:40
50
son :
wamenini?
2026-11-16 09:02:16
54
𝑬𝒗𝒂𝒓𝒂𝒉🗽 :
Yeeee mwenywee haamin😹😹
2026-11-16 15:09:11
51
𝔅ℜ𝔘𝔑𝔒 𝔊🧢🎮🧢 :
Me nilikatiza kambi ya jeshi na pikipiki wakanijazia full tank wakaniambia nipige honi mpka mafuta yaishe
2026-11-18 07:14:31
77
king yuzo :
nani kaimba jiwe hili
2026-11-16 09:49:09
26
𝗠𝗚𝟳𝟱 :
Akijibu tu kwishaaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-16 09:47:03
17
Vibe ~Scott~ ⏳️🌵 :
unacho taka nataka
2026-11-16 11:35:00
16
lssa said🇹🇿 :
wanajeshi saivi wakari sijui tatizo nini
2026-11-16 16:19:35
28
NAVIGATOR🍁 :
ajibu aone🤣🤣
2026-11-16 08:59:51
30
HUMBLE 💫 :
Camera man baaaaasi🤣
2026-11-16 09:16:26
29
disaster the Tx :
mcwaz alikuw anaomb Kaz y derivery
2026-11-16 09:20:29
8
Rabbit 🐰🐇✅✅backup :
Ashuke kama alishinda liadha anifate [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-16 11:41:35
8
MR#FUTURE LOVE❤️ :
hapo Kuna mambo hayaaah✌️
2026-11-16 08:31:34
7
Noone🧑💻123 :
awajakwambia Mimi nani
2026-11-16 09:34:35
6
NOTIFICATION :
kimewakaaa😂
2026-11-15 22:34:02
9
uchebe nation :
Me walinidaka wakaniambia nipange mistari sita na nipo pekeangu
2026-11-22 06:21:37
3
-Waled-jr :
2026-11-17 04:01:50
1
Victor Thadeo :
Yaani Tanzania mtu akipata ajira kwenye sekta ya jeshi anaona kama anafanya kazi mbinguni uwa wanasahau kabisa uwepo wa mungu
2026-11-17 12:48:10
2
𝑼𝑯𝑰𝑩Ɓ𝑼𝑲 🥀 :
sasa watu wasisalimiane😂😂
2026-11-17 06:07:21
2
king mswati.💯 :
jaman si walisema jeshi la wanchi mbona lina nyanyasa wananchi
2026-11-17 06:30:14
0
To see more videos from user @blacksmithy307, please go to the Tikwm
homepage.