@uhondo.tv: Baadhi ya abiria wametoa wito kwa madereva kuzingatia umuhimu wa kupumzika wanapohisi uchovu wakiwa safarini, wakisisitiza kuwa usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara unapaswa kupewa kipaumbele. Abiria hao wametoa maoni hayo baada ya kupatiwa elimu ya usalama barabarani na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, SSP Yusuph Kamotta, wakati wa operesheni ya ukaguzi wa vyombo vya moto iliyofanyika usiku wa kuamkia leo. Wamesema dereva anapohisi uchovu anapaswa kusimamisha gari katika eneo salama na kupumzika kabla ya kuendelea na safari, wakieleza kuwa ni bora kuchelewa kufika wanakokwenda kuliko kuhatarisha maisha kutokana na uchovu unaoweza kusababisha ajali. #UhondoTVUpdates

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 22:22:48 GMT
5218
185
1
2

Music

Download

Comments

phinahemmanuel
Phinah :
ni kweli kabisa ata tufike kesho ila tumefika salama
2026-11-16 05:18:15
0
g.mwana5
G.mwana 4️⃣5️⃣ :
[Power][Power][Power]
2026-11-15 23:23:25
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About