kwa wanawake wanaojitambua si rahisi, hawana shobo kabisa na ivo vitu
2026-11-16 08:39:21
29
zuhura 💦🇹🇿❤️🩹🇴🇲 :
Mbona mim naongopa kupanda magar ya lifit au mim mshamba
2026-11-16 06:09:27
73
mamcyrus :
nmecheka kwa sauti😂
2026-11-16 04:20:23
36
Jojo sanga 🥰 :
tuna pitia mengi sana ila naumia sana nikiona mume wangu anani chiti nawatu wa ajabu mpaka nawaza
2026-11-16 05:11:34
37
LOVELYTZ🙏🦋 :
Shida siyo kuwa na gar jee anatoaaa
2026-11-16 07:32:48
5
George Furniture ⛎ :
alie cheka kwa saut kama mimi nani 😂😂😂😂
2026-11-16 13:01:36
6
💎NINIY MOMMIANNA💎 :
Me nae nikipewa lift kwenye magari ya bei napandaga tu kuexperience apa bado GWagon 😂🤣😂
2026-11-16 06:44:08
20
Agatha Felix :
tunaojielewa natupendagu lifti
2026-11-16 04:38:24
23
Anord Mariki :
Sio wote utawachota kwa staili hiyo kaka
2026-11-16 05:32:02
8
dhia_ommy :
aloooo kwisha mimi
2026-11-16 17:48:58
0
Vee Octillion :
Sasa niache mtu anatoa na sadaka si nitakuwa nawazimu 😂😂😂😂
2026-11-16 06:44:33
14
Mary Jonathani :
yaaan acha tu wawe wanatuheshim sisi tunavishawish vingi tunavikuta jamn
2026-11-16 04:40:46
19
Mirah__🤍 :
Hii nayo yakweli bana wanawake tusikatae😂😂🙌
2026-11-16 07:21:20
8
Tems 🦋💋 :
Nachoka mm 🙌🙌😂😂
2026-11-16 16:42:31
0
bgp046 :
not true
2026-11-16 12:08:11
0
£mmy :
apo atanisamehe napita naye
2026-11-16 08:20:20
5
Misshy💎🖇️ :
Alicho kiongolea hapa sio kwamba wanawake hawajui kukaza bali ni kwamba kama mwanaume unamtreat mkeo as hana pakwenda ni kwamba ndo anajenga nafas ya kumfanya huy mwanamke akikutana na Watu wenye care nzur hata kwa dakika kazaa akamsoma bas ni rahis mwanamke kufanya maamuz ya kuanza KUCHEAT.... Boys girls tunakutana na vitu ving sio kwamba nivzr ila ni vyenye kujal hivy respect ulicho nacho na kukijal
2026-11-16 05:28:46
5
J peace :
njoooo taratibu iyo meza unayotikisa inavinywaji vya gharama
2026-11-16 05:42:35
5
issamsangi121 :
kaka kwa bongo hatutoboiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-16 04:47:01
5
asha kiroho safi tz :
aah shila usitoe code zetu
2026-11-16 02:28:29
6
Evita nyamba :
Sina hata nashobo na magar saiz
2026-11-16 18:17:27
0
Irene stylish :
Natamani niseme ila
2026-11-16 20:38:26
0
To see more videos from user @kazimil03, please go to the Tikwm
homepage.