@diaspora.voice: nyumba ya dini si poa

Jonas Kano
Jonas Kano
Open In TikTok:
Region: US
Monday 16 November 2026 00:21:44 GMT
14423
626
87
150

Music

Download

Comments

kn13or
KN 13’or🇨🇭🇫🇷 :
Ile njo folie yenye siwezi fanya mwaiyi europe. Ku twala nyumba ya deni
2026-11-22 00:53:23
2
veritengimbi291
veritengimbi291 :
na mtu aki kufa asa avant ile 30ans?
2026-11-16 22:31:03
0
lillylaperla
LillyBeauty :
aksante kwa serial bengine abasikiyake niku fanya competition just mungine alinunuwa.Lazima mutu awake pesa kisha anunuwe
2026-11-22 12:45:40
0
m.kelly2026
M.Kelly 🌍🌍🌎🌍🪐🪐 :
Kila mkopo unaouchukua ukiwa ughaibuni unaweza kuwa kama aina fulani ya utumwa, kwa sababu unajiwekea jukumu la kulipa deni ambalo huwezi kulikimbia wala kuliacha kirahisi. Unajikuta umefungwa na mfumo wa maisha unaokulazimisha kubaki sehemu moja na kufanya kazi, kazi, kazi na tena kazi kwa bidii maisha yako yote. 😃😃 Kwa hiyo, kabla ya mtu kufanya uamuzi wa kuchukua mkopo wa aina yoyote akiwa ughaibuni, ni muhimu kufikiri kwa kina na kupima faida na hasara zake. Kama una uhakika kwamba utaishi sehemu moja kwa muda mrefu, au una familia yenye watoto zaidi ya wawili, kununua nyumba kwa mkopo kunaweza kuwa uamuzi mzuri. Kwa sababu utakuwa na jambo moja kuu la kufanya: kwenda kazini, kurudi nyumbani, kulea familia yako na kujenga maisha ya familia yako taratibu. 😃😃 Lakini tusisahau kwamba kununua nyumba kwa mkopo ukiwa ughaibuni ni jukumu kubwa sana. Ni mkataba unaohitaji nidhamu, uvumilivu, mipango mizuri ya kifedha na uhakika wa kipato. Kwa kifupi, maisha ya ughaibuni yanahitaji watu wenye hekima, busara na uwezo wa kufikiri mbele kabla ya kufanya maamuzi. Si kila fursa ni nzuri, na si kila mkopo ni maendeleo. Wakati mwingine, uhuru wako wa kifedha una thamani kubwa kuliko vitu unavyomiliki. Kabla hujajifunga na deni, fikiria kwanza maisha yako ya kesho. 😄😃🫶🏽🫶🏽🫶🏽
2026-11-21 16:55:18
1
nibigira.assina
Nibigira Assina :
mungu nisaidiye nguvu niendereye kupanga no pressure I don't want problems ooooo
2026-11-18 17:35:14
1
thevoiceofhope08
Light Carrier :
interest siyo mingi naba just cett arvent tu veux invester et avoir dans 2 ans
2026-11-16 13:36:16
0
sistergrace00
Grace the grace :
no mbona yetu ni 3% nani America 😁
2026-11-16 02:30:55
0
jonathanmubake632
Père Général :
na après ile 25 ans ou 30 ans est-ce que inaeza kuwa ingali praticable ?? I mean installations zita kuwa tuh en bon état ?
2026-11-16 01:05:49
0
cong2254
@@dp22 :
Wenye inchi wengi wanapanga akuna governement Scam kama hii ya 🇺🇸
2026-11-16 15:12:20
0
jean.karoba6
jean karoba :
si je meurt avant kumaliza bitakua ayé gnd?
2026-11-16 09:24:40
2
laetitia.kwibuka
🇨🇩🇨🇩 :
Hasa Kama mutu iko na Cash.???? Bana punguziyanaka ku prix.??
2026-11-16 19:15:54
0
joseph.kalonda6
Denis K :
Unaweza ongeza pesa kwenye principal then autalipa ile interest yote iyo ni code ata bank aipandake
2026-11-16 06:23:04
0
james.herman.no.pi
James Herman no pie :
Congo njo iko na interêt ya mingi kuliko America congo ni 10% ku mwezi
2026-11-16 02:57:32
0
chombocha1
Chombo cha bwana :
leo umekosa jambo lakusema kabisa
2026-11-19 22:15:07
0
diodryck
MTAKATIFU :
Kumbuka taux d’intérêt zinabadirikaga kila bahada yamiyaka kazaaa, mais inakuwaka na inapanda ama inashuka selon économie.
2026-11-16 09:19:29
0
256croose
S CROOS :
brother America 🇺🇸 niyaba American aiko yatu ya mahana niku tafuta tuna tupa kwetu
2026-11-20 15:28:30
1
cottonjuicezillah
Cotton Zillah Juice :
Si Afazali Nilipe pole pole Ivyo kuliko Ku Rent Milele
2026-11-16 15:27:16
1
kijana.mweusi2
kijana.mweusi2 :
Hizi inchi hata kupanga nyumba ni stress. Inspection zinapea watu pressure
2026-11-17 13:22:18
0
amesoeur90
Amour❤️ :
Interet na hypoteque biko na différence ya à peu pres 30000$
2026-11-16 15:56:35
0
olivier.soda1
Oli soda :
Miye minezi fanya amo business tu kabisa
2026-11-16 16:41:12
0
judditelinah12
JUDDITE LINAH 💜✨ :
Exactly ukweli kabisa
2026-11-22 18:48:26
0
warrior_0035
Warrior 002 :
Les gens ne calculent pas. Morgage is a scam na ni pression ya mingi. Au moins una epargner wepeke ukye uza cash après ile 20 ans
2026-11-22 09:16:51
0
mphil
mphil :
Ndio kaka
2026-11-16 17:47:01
0
razoskey
𝐎𝐔𝐑𝐒 𝐁𝐑𝐔𝐍🐻 :
Unachukuwa y’a bei chini (ex: yenye iko na m’a travaux) et tu fais de travaux toi même, sababu ku panga ni kama kutupa pesa (jeté l’argent par la fenêtre).
2026-11-22 10:28:46
0
davidson_bdi
Davidson_bdi :
Kweli
2026-11-19 03:13:44
0
To see more videos from user @diaspora.voice, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About