io ndo nature bro na wanaume wengi tunajiumiza wenyewe, sisi tunataka kupendwa wakati wanawake ndo inafaa wapendwe,. BIBLE inasema mume ampende mke na mke amheshimu ila sasa tumeweka viceversa ndo maana mioyo ipo hoi uko
2026-11-16 05:26:40
2
Jasper Gregory :
dah! my bro u ar just saying something big.
2026-11-18 19:21:09
1
Mary Kanjila :
Namfunika mme wangu kwa DAMU YA YESU
2026-11-16 11:13:23
2
basso :
ukisema nn kilimua ugonjwa gani inaniuma sana nlitaman niendelee kumwona capt komba...
2026-11-16 08:20:56
2
sammyl :
kk jr kombe mungu azidi kukupa nguvu. akupe busara zaidi
2026-11-16 04:26:20
2
hashilhashil82 :
Wacha waisome namba ee
2026-11-16 12:32:19
0
Migila :
Mimi aisee nipo na Baba yangu ni kamanda wangu wallah
2026-11-16 06:58:22
1
Devota JS :
Thats very true. Baba zetu hawana watetezi.
Mungu awatunze Baba zetu
Mungu awalinde pamoja na yote lakini Baba zetu ni vichwa vya familia.
Familia haikamiliki bila Baba
Mwanamke hazai bila Baba
Mungu awalinde na kuwatunza🙏 Wanavumilia mengi wanabeba mizigo mizito lakini baba zetu hawasemi.
Ooh my.... Mungu awafanyie njia🙏
2026-11-16 04:40:43
2
mmakua Tz :
baba kila hatua
2026-11-16 07:58:28
1
chidy furniture :
pamoja brother Mungu akulinde
2026-11-16 04:48:25
1
happyherman :
kwaiyo mama anafaida kutangulia ni mpango wa mungu