@mbona_sasa: Mbona M-Pesa ilianza Kenya na si majuu? Jibu si tech. Ni shida. 📱💸 1️⃣ Majuu wako na bank kila corner. Sisi tulikuwa na simu, si account. 2️⃣ Wakenya walikuwa washaanza kutumiana credo kama pesa. 3️⃣ Central Bank ikasema "jaribuni, tuone." Na ukweli mchungu: pesa ya kuanzisha ilitoka UK. Lakini idea ilitoka kwa tabia ya Wakenya. 🇰🇪 Mbona? Follow ndio usimiss Episodes #Mbona #MPesa #MobileMoney #KenyanHistory #Fintech

Mbona?
Mbona?
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 16 November 2026 04:23:36 GMT
13420
772
7
28

Music

Download

Comments

kingsamthebest
king👑👑 Sam :
please nyahururu
2026-11-16 06:53:43
2
mwaura.sila
Gibson ndech :
Gina majuu ilitoka wapi
2026-11-16 19:15:13
0
mosemusa688tikt
MUSA GAZZA 💥(◍•ᴗ•◍)❤ :
ID zilitoka wapi
2026-11-16 14:12:33
1
abdizovhanover
❤🇬🇲updi fatah erar 🐦🐪 :
paypil ili toka wapi?
2026-11-16 11:54:56
1
ahmed2227233
ahmed222 :
Na alien vumbua mpesa amelipwa na safaricom ama bado????
2026-11-16 17:42:54
0
alvinpius137
cj classic✅ :
😂😂😂
2026-11-16 10:56:40
1
bachelorman862
cananiralica [email protected] :
🤓
2026-11-17 15:26:47
0
To see more videos from user @mbona_sasa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About