@iamrasheedah__: 📌Jua kali na watoto wako likizo, hii ice cream ya chocolate ni lazima! ☀️🍫😍 Ni rahisi kutengeneza nyumbani, haina machine na unaweza kutengeneza pakiti nyingi zikakaa katika freezer kwa ajili ya watoto muda wowote wanapotaka kitu cha baridi. Kwa hii recipe nimetumia chocolate na viungo vingine vya maziwa, bila vanilla. 😋 Watoto wako wangemaliza pakiti ngapi kwa siku? 😂👇🏽 Recipe nimeipin kwenye comment ya kwanza. #tastethattantalize #icecream🍦 #follow #share #like
ICE CREAM YA NYUMBANI BILA MACHINE! 😍🍫🤍
📌 VIUNGO
▪️Kikombe 1 cha whipping cream
▪️Nusu kikombe cha maziwa ya unga
▪️Nusu kikombe cha condensed milk
▪️Kikombe 1 cha maziwa fresh
▪️Chocolate
📌 INGREDIENTS
▪️1 cup whipping cream
▪️½ cup powdered milk
▪️½ cup condensed milk
▪️1 cup fresh milk
▪️Chocolate
2026-11-16 09:30:46
9
Annie😍 :
mi hivyo vifuko hua vinafumuka
2026-11-17 12:34:26
1
bintisayuni28 :
Condes sina maziwa sina, cream sina😁🥺😂
2026-11-17 11:23:31
2
leysly adonis 🌼🌼 :
Hivi hii kwa biashara unauza shingapi kwa pc moja
2026-11-16 09:07:06
1
Ruwayda soud :
Mashaallah nzuri saana 😋
2026-11-16 10:45:49
1
hdadarite :
asantee
2026-11-16 13:31:19
1
The boss lady :
Mashallah
2026-11-16 17:48:46
1
user5824868816732 :
jambo nataka unipe nim yako
2026-11-18 07:44:01
0
622026 :
2026-11-16 09:12:11
2
To see more videos from user @iamrasheedah__, please go to the Tikwm
homepage.