@hassankhatibmabruki: Huyu Binadamu Hajui Kakabiliwa Na Nini Siku Akitoka Kwenye Makaburi! 😭🤲Siku ya Kufufuliwa, hakuna ndugu, hakuna rafiki, hakuna mali, hakuna cheo. Kila mtu atasimama mbele ya Allah peke yake, akisubiri hukumu ya matendo yake.Dunia ni safari fupi sana. Kaburi ni mlango wa kweli. Je, umejiandaa na siku hiyo?Ewe Mwenyezi Mungu, Utusamehe na Utupatie mwisho mwema. Amin 🤲Sikiliza maneno haya ya Shehe mpaka mwisho, utajifunza kitu... #BinKishiri #Mawaidha #Makunduchi #Zanzibar #Islam
Bin Kishiri 🕌📿
Region: TZ
Monday 16 November 2026 06:37:33 GMT
Music
Download
Comments
walang hang :
Allah akbar
2026-11-16 14:48:24
1
dil cappo :
KAA RADA NA ALLAH
2026-11-16 09:11:40
1
shEnbey koz jo, :
subhanAllah
2026-11-16 16:19:22
1
Masoudmasoud Peter :
Allahu Akbar
2026-11-16 17:04:33
0
Abu mtiku :
Allah Akbar
2026-11-16 09:39:02
1
To see more videos from user @hassankhatibmabruki, please go to the Tikwm
homepage.