sheikh naomba kuuliza mm huwa napewa karatasi na karamu niandike jina langu lakini mm sijawahi kuliandika na sio mara moja
2026-11-18 19:43:37
0
user5930856816111 :
ustaz mm nakuliza Mtoto akitafuna meno usingizini anaashiria nn
2026-11-17 09:36:18
0
Ummy Remmy :
kma mimi niliota mtu aswa ninaemjua alinitilia ndani ya dera nikapiga kelele mpaka nikaamsha watu
2026-11-16 13:45:23
1
🦋💎Rare Gem 💎🦋 :
Mimi nimehama nyumba mpya ....nikapata jongoo kesho yake mkubwa karibu na pahali pangu pa kulala nikamtupa nje .... jana nampata tena jongoo mdogoo namtupa tena .... Nifanyeje ?
2026-11-18 05:22:27
0
Lady Brown :
iyo nikweli
2026-11-18 19:52:45
1
Najuubaby 001 :
asalaam alekum jee jongoo kukupanda mwilini ukiwa mjamzito maana nn jamani ninaomba jibu tafadhali maana kila nikibeba mimba lazima jongoo anipande