@kaziniupendomachuzafamil: Aya hii kwa uwezo wa mwenyezimungu inauwezo wa kumtibia mtu au mtoto ambae ana shida ya kujikojolea kitandani mara kwaa mara. NAMNA YA KUFANYA: Utaandika aya hii mara 7 katika karatasi nyeupe kwa kutumia Zafarani na miski siku ya j pili baada ya swalatu insha kisha utaweka katarasi hilo kwenye maji ya mvua yaliochanganywa na maji ya marashi. Kisha maji hayo utayasomea ALAM NASHRAHA mara 7. Baada ya kuyasomea, atakuwa anakunywa nusu kikombe mwenye changamoto ya kujikojolea asubuhi na jioni ndani ya siku 14 . Kwa utukufu wa aya hii mwenyezimungu atamuondolea tatizo hilo moja kwa moja inshallah.

NDIBHONYE ✍️
NDIBHONYE ✍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 November 2026 08:06:10 GMT
3578
382
7
40

Music

Download

Comments

babe_more02
_.Mehwish🦋💖✨️ :
Allah Akbsr
2026-11-16 10:59:25
2
hammy.girl63
@hammy girl :
asant sana
2026-11-17 22:27:36
1
lil_unstopabble15
mashmelo78 :
asnte kwa kutupatia huu msaada allah akupe kila lenye kheyr
2026-11-18 05:13:09
1
ibraa.og3
IBRAA.999 :
🙏
2026-11-18 16:49:18
1
To see more videos from user @kaziniupendomachuzafamil, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About