@sarem_store_tz: #fyp #onthisday #tiktoktanzania🇹🇿 #swahilitiktok

Sarem_store_tz
Sarem_store_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 November 2026 08:17:29 GMT
24950
2495
77
172

Music

Download

Comments

user98203215923658
locjonie :
it's moree painful as a child😥
2026-11-16 14:02:40
14
user839101293206
MA ALVIN🇷🇼 :
nimelia kwa uchungu😭😭😭
2026-11-16 17:21:26
12
chita.girl
chita girl :
NIMETAMN KULIA EE MUNGU ATAKAMA BABAAKE HANAGA MUDA NA SISI BASI NAOMBA UNIPE BABA MWINGINE KWAJIRI YA BINTI ANGU😭😭🙏
2026-11-19 06:14:33
2
vee3237
vee💕🥰 :
unadhan hata wanakuelewa baba🤣🤣?? we ungetuombea tu wamama tusikose riziki ya kuwalea watoto
2026-11-17 06:18:11
9
beingmoureen
momo🦋 :
Sina Namba yake ningemtumia ila mm kama mm nimemuachia Mungu
2026-11-16 19:22:23
5
fadhili166
@Fzl :
kwan mwanza kuna nini
2026-11-16 17:03:24
2
veronica.mlimila
Veronica Mlimila :
baba watalelewa tu kama ataki utamlazimisha
2026-11-16 19:41:44
2
user8423758409860
SANGA MAGARI🇹🇿 :
Mtumishi umeongea vyema🙏 Mimi watoto wangu wanaponiona wanafurahi sana na kunirukia japo sikai nao ila napambana sana na kuhakikisha wanaishi vyema na Hakika namuona Mungu kupitia watoto wangu Prince na Patrick...Na nilishawaambia mama zao wakigombana na Mimi wasihusishe watoto wangu na nilishawaambia wafanye chochote kwa yoyote ila siyo watoto wangu...Nawapenda sana Tena sana♥️♥️♥️watoto wangu
2026-11-18 06:10:26
2
ky625989
ky :
NAMPENDA SAAANA MTUMISHI TONY SAANA MUNGU MLINDE HUYU BABA AZIDI KUTUPA UJUMBE MZURI ZAIDI
2026-11-17 13:14:29
1
miss.boss184
MISS BOSS :
amina mtumishi
2026-11-17 21:32:09
1
caree047
Mrs E💍💕 :
Amen
2026-11-16 16:17:14
1
anitha.joseph20
Anitha Joseph :
Mpka nimehisi kulia 😔😔😔
2026-11-17 08:30:07
2
rebeca.michael2
Rebeca Michael :
aimeeeen
2026-11-16 17:17:55
1
pudesianaliela
pudesian :
sijuwi watasikia uwiiiiiiiii
2026-11-19 09:35:10
1
user7240924600275
mama Africa :
😭😭😭 duh singo mother mimi najua haya maumivu
2026-11-18 15:16:09
1
piankraog
piankra~Og🦋 :
😪😪😪so sad
2026-11-19 04:02:12
0
alisha.shaibu
alisha shaibu :
ubarikiwe sana
2026-11-17 14:11:18
1
user1593713386262
user1593713386262 :
mm nimemuachia mungu napambana mama mm baba mm ila najua mungu yupo
2026-11-16 21:26:03
2
esther.ambros
Esther Ambros :
Amina
2026-11-17 05:19:33
1
vivienne.lulu.tim
vivienne timber :
sio sifa kabisa
2026-11-17 08:44:37
1
rayshaula
Ray Shaula 0657880003 :
Asanteeee
2026-11-16 15:40:25
1
dennisjames632
DEJAMEE :
amen 🙏 🙏 🙏
2026-11-16 21:15:02
1
deborafrank38
Deborafrank :
amina kaka natamani afanye ivo kwa mwanae
2026-11-17 06:33:28
1
broka_genius
Broka Discount Center :
Amina yenye nguvu
2026-11-17 07:03:21
1
To see more videos from user @sarem_store_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About