@ruwamedia01: Msanii @h.baba_ Akiwa upande wa @mrttouchez kama producer bora kumzidi ZOMBIE, Amemvaa @s2kizzy kwa kumtupia dongo na kusema kwamba yeye bado ni producer mdogo sana ukimlimganisha na KING PARAZO. @h.baba_ pia amegusia sakata linaloendelea kushika vichwa vya habari mitandaoni kuhusu msanii @diamondplatnumz kumtema producer ZOMBIE akidai Diamond ni Hodari katika kuwaziba Midomo wanaoongea sana, akimlenga producer @s2kizzy _________________________________________________________ Cc: iysanmsela _____________________________ #ruwamedia #creatorsearchinsights #fyppppppppppppppppppppppp #diamondplatnumz #fypシ゚viral

RUWA MEDIA
RUWA MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 November 2026 08:47:37 GMT
405129
27288
184
192

Music

Download

Comments

tinnywhite0
Tinny 🐇🐇 4👊 :
Mr LG ndo kambeba san S2kizzy
2026-11-17 12:07:33
3
zaka1126
zaka boe tz :
tunaomkubali s2kizzy 2juane
2026-11-16 12:23:00
155
namikoa69
nchimbi_245 :
NDIYO ILE UNASKIA WE ZOMBIIIIEEE HAAAUUUJUUUIII😂😂😂😂
2026-11-16 11:13:25
217
sam94212
samstaNyota :
S2KIZZY Ni mnomaaa bnaaa
2026-11-16 23:32:39
9
samweli.mshana3
Samweli Mshana :
ndio maana kila siku kwenye biti zake alikuwa anamwambia we Zombie Haujui kumbe hajui kweli
2026-11-16 19:37:19
65
duajumbe528
Dua Jumbe :
achani midomo s2kiz anajua.
2026-11-17 11:35:11
10
mr.naturenaaj.sin
Mr Nature(naaj singer) :
kweri alikuwepi Tudi thomas diamond alivyo muacha basi kapoteana
2026-11-16 15:34:37
25
babakoko24
senzo big fish 🐠 :
s2kizzy ni mkali na lg nae mkal lkn wabongo mbona tunataka tumshushe kizzy kwann wote wasikae juu
2026-11-16 14:30:45
33
robartithomasi
big d@ncer :
wanangu wa pablo tujuane❤❤❤
2026-11-16 17:33:53
26
kabwai99
Official Kaddo# 99🇹🇿 🎬 :
Watto WA king 👑 palazzo tuonane apa
2026-11-16 10:06:50
62
mussamolay
mussamolay :
tunaobisha tujuane
2026-11-16 09:49:17
14
t.h.e.s.p.e.c.t.r.e
am..hudhah :
hapo juu aluposimama naona bati bora au ndo za s2kizzy😅
2026-11-16 14:50:54
10
chindminamba
chindu minamba :
ajamkomoa s2kizzy mkali sana na kunawasanii wengi wanaitaji kua na mapljuza
2026-11-16 10:55:46
16
mr_coco254
mrcoco :
t touch mia kwa mia
2026-11-16 17:15:53
8
user1555135107063
kattojafari :
ila hbaba tanguzamqni huaunaongea ukweri
2026-11-16 18:18:04
6
pablo.luck.store
PABLO LUCK STORE :
TT MTU MWENGINEE,,
2026-11-16 10:00:00
7
menejatobbyabranditiki
MENEJA TOBBY BRANDI :
kweli mkuu
2026-11-16 15:55:16
6
user8877324443529
user8877324443529 :
sana
2026-11-16 13:54:22
6
user5516151077953
bahati anodi :
kweli
2026-11-16 14:34:42
7
chupapy.1
PAPYKOJO :
msisahau pablo mtu wa sumbawanga uyo
2026-11-16 12:14:08
8
funstar__
[  ] funstar__ :
iyo ata mimi najua alipo toka mojamoja records alikikua kwa s2kiz msanii yeyote ambae yupo kalibu na na awa watu anajua
2026-11-16 13:26:05
5
jumamahanyu777
Juma Mahanyu :
obioooo
2026-11-16 11:49:48
7
user4818805481959
KESHENI MKIOMBA :
Pablo nom wew
2026-11-16 16:45:47
11
tiktok.com7jr
7 jr :
obiyoo
2026-11-19 19:05:04
3
phalonja
official phalonja :
"we zombi haujui" sisemi sana
2026-11-17 08:20:33
3
To see more videos from user @ruwamedia01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About