nimesikia doumbia striker of the world❣️❣️❣️❣️❣️❣️😂😂😂😂😂🥰🥰🥰😂 au nyie mnasemaje
2026-11-16 17:54:16
173
Captain shark :
[Laugh approved] nmechoka sana
2026-11-20 11:09:57
0
king 👑 Zakaria ☑️ :
mimi nimshabiki wasimba lakini hii ni piw AI
2026-11-16 12:55:19
43
Rahab Jamal :
hiyo lin hiyoooooooooo
2026-11-20 12:25:24
0
Paulina Thobias :
Simba mbele nyuma mwiko
2026-11-18 10:14:16
6
peteremanuel :
welcome Tanzania 🇹🇿
2026-11-18 18:53:03
0
edson phaustine :
thanks president
2026-11-18 15:27:10
0
Meshack Wiliam :
Ifike sehemu AI ifungiwe 🤣🤣🤣🤣
2026-11-16 12:27:43
18
MR MONEY 💰💰 FROM TANGA PANGA :
siyo trumpo wakweli bali ni trumpo Ai🤣🤣🤣🤣
2026-11-17 14:55:09
9
MT🛟T 26 🦺LIFE🔥🔥MbEy MaBgan :
hiyo Lin hiyoooooo?????
2026-11-19 10:24:02
1
Joyce Kwolola :
ni ai au nasikia vibaya 😳
2026-11-17 20:29:50
0
Nathan :
Nikweli kabisa nilikuwepo kwenye huo mkutano Siyo AI yaani Trumpo anasema atakuja December kuongea na mama Samia ili amuuzie timu ya Simba kisha wasajiri Messi na Ronaldo wamkute Doumbia simba.🙏
2026-11-19 13:35:50
3
Jordi#63 :
Ila AI bhna
2026-11-17 07:04:45
5
Zenobius73 :
tungeamin ila kwenye doumbia apo
2026-11-16 19:37:19
10
MP EFBALL+mbilango :
kaanza vizur lakini kaharibu mwishoni
2026-11-17 05:36:18
7
jose mwita :
nguvu moja
2026-11-19 11:01:17
1
Mintface pro :
Haya wale walozoea kusema ni AI wabishe na hii😂😂😂
2026-11-16 09:08:00
5
SULEIMANI_JUMA :
Ai amkeni alli ni mbaya
2026-11-16 18:11:52
5
Marry :
❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️
2026-11-17 07:03:55
1
Zuhura Mussa :
tuwache bwana huwachi😃😁😁😆
2026-11-17 12:21:26
1
Sira Paulo :
hata sijuw kuwa AI au kwel
2026-11-17 16:41:05
4
slyx tupilo :
Duh jamaa anajua
2026-11-17 18:34:27
3
sam Joshua 1234 :
nani katengeneza hii😂😂😂
2026-11-16 19:28:43
2
Sabina :
👏👏👏👏
2026-11-17 00:27:38
1
To see more videos from user @mintface_pro9, please go to the Tikwm
homepage.