kama unakibali kwenu huwezi kumuelewa huyu dada watu tunakataliwa nyumbani😳😳😳😭
2026-11-16 15:22:51
313
zanura :
mm namuelewe vzuri sana huyu dada ila namuachia mungu
2026-11-16 17:11:06
188
Y mariki :
mzazi ni mzazi usimlaani Bali patana naye baada ya hapo kaa mbali naye
2026-11-17 05:31:26
57
nyakahanga :
kama kwenu unakubarika kwenu huwez kumuelewa huu dada
2026-11-16 20:14:11
60
amina :
Eemmungu tuongoze tunachukiwa namamazetu
2026-11-16 19:02:44
40
Emmanuel damas :
🤣🤣🤣🤣🤣 mama ni mama si ndio wengi twasema hivyo
2026-11-17 07:57:07
13
Ronnyfabbiz :
plz kama mnataka kujuwa tatizo,tafuteni mama yake cz hatuwezi kuskiza upande mmoja
2026-11-16 11:12:08
39
jasminifred :
yaaani huyo mama nikama dada yangu amekuwa shida kwenye maisha yangu 🥲🥲
2026-11-16 14:33:45
19
Fey Hazard :
adui wa mtu niwanyumbani mwake
2026-11-16 18:44:25
18
Eliza...pastol :
dada namba namba yahuyo dada tusaidiane namm mama yngu kama huyu you're hataki tuorewe wara kuzaa nimtiani
2026-11-16 13:53:37
16
👑👑Momy JC🧑🤝🧑🫄 :
Mama wengine jau hata kama ni mzazi inakela hata kama daa
2026-11-17 11:26:40
11
Geee628 :
cjui nani alisema Kua mzazi akosei jmn dah Kuna wazaz wanaumiza san
2026-11-17 14:10:09
5
Fantasymom26 :
Kama ujawah pitia hii situation huwez muelewa huyu dada mungu atusaidie 😭😭🙏🙏
2026-11-16 19:20:30
20
CEO Kenyatta university :
so sad manzee
2026-11-16 16:26:58
0
arexmgaya :
mupe [Pray][Pray]pole dada
2026-11-16 16:26:43
0
bmwmussa@1 :
huwez elewa huyu mdada kama hujapitia maisha ya hivyo
2026-11-19 21:57:38
3
Ester deus :
inaumiza sana tengemezi lako ndo awe adui yako wa kwanza ahsate mungu kwa wazazi uliyo nipa mungu watunze
2026-11-16 19:24:25
5
Isabella Ndyanabo :
Namuelewa sana sana mungu atutie nguvu
2026-11-16 17:27:35
6
Mrs J'four❤️❤️ :
Usiombe yakukute tunaomuelewa huyu dada tupo wachache wengi yanawakuta haya lakin unakuta huna pakujielezea ila hayamambo yapo jamn kwenye familia zetu
2026-11-18 04:56:45
5
Leader Mwakikuti :
Yesu akusaidie msamehe 😭😭😭😭😭😭
2026-11-16 13:08:17
6
marykisumo :
for my side my dady Kila akiskia naumwa anasema atachangia jeneza na Toka nikiwa tumboni cijazaliwa ananichukia kbsa mpk xx na now my mum rip,,and my bro rip haya niambie ni baba wa aina gani
2026-11-18 20:49:41
2
gracemwasu :
nimemkumbuka Gigy ghafla ....aiseeee
2026-11-21 21:30:02
2
Rucresha :
YESU anakuja muda umekwisha jamani
2026-11-21 19:35:50
1
🦋💥❤️🇿🇦🇿🇦🥰 :
Yuko sahihi saana bas tuu venye mama n mama aseeh [Embarrassed]inaumiza saan guyz
2026-11-17 19:18:50
2
Gladys Minja :
Don't cry look for a good pastor to return it to sender
2026-11-17 22:02:22
4
To see more videos from user @violamtetezi, please go to the Tikwm
homepage.