@awakenedgiant1: Uhuru unaanzia ndani. Karibu tuifanye safari ya uponyaji pamoja. Kupata vitabu na huduma ya uponyaji link https://selar.com/m/awakenedgiant #Uhuru #Kweli #Uponyaji #Mafanikio #MahusianoSumu
haya mambo ni kwel jmn🥹na huwa wanataka uwategemee wao, ukifanya kitu unaona anakasirika anahisi mnashindana
2026-11-16 18:02:25
8
Salma hemed 🥰🥰🦋 :
maana yk nasisit pls tufahamishe
2026-11-16 15:14:49
0
aishamsemwa548 :
Niko Naye hapa jamani uwiiii
2026-11-17 05:12:00
2
Miry njeru :
you need to be aweken to understand
thanks sir
2026-11-16 16:19:31
1
Tarimo Franck :
nasesist ni mtu yupoje
2026-11-16 10:36:50
0
MWANA MCHOLI 🥰 :
wangu aliumia sana alivyosikia mwanae kanunua kiwanja jamani niliona ajabu sana mtu hataki ata mwanae awe na maendeleo jamani kwa Sasa sipo nae alinikimbia mwenyewe banana ya kuona nimecheka naateso simuogopi Tena
2026-11-16 13:20:24
2
mama stv :
Yaaani alijaza kabsaaaa kwake nishati yangu yote
2026-11-17 08:25:02
0
mama Dee :
naitaji no yako
2026-11-16 11:59:34
0
Angel Mbise :
nn maana nasisit jamen ni mtu wa aje
2026-11-16 13:29:52
0
Jennie 🥰 :
Aisee ni kweli kabisa
2026-11-16 12:40:20
0
kgami :
sahihi brother
2026-11-16 10:35:10
0
Shamimu Ally :
jaman ukiwa sio muhanga wa huyu narc huwez jua nini mwalimu anaongea🥺🥺🥺🥺🥺ila ukifanikiwa kuondoka kama mm daaahhhh utajua umuhimu wa kusimamia mipaka yako🥺🥺🥺 Mungu awabariki sana ambao bado wanatesekea huko
2026-11-19 16:03:11
0
Bi Amina KPM♒ :
Asante kiongoz[Pray]
2026-11-19 15:16:48
0
Martina Agostino :
unaongea point sana kaka yangu
2026-11-16 17:19:01
0
Caroline :
unasema ukweli mtupu niliishi na nasisist walai nimeteseka but shukran kwa maelezo yako
2026-11-17 19:50:16
0
Neejah :
aseeee
2026-11-16 22:31:23
0
Tarimo Franck :
yeah
2026-11-16 10:45:59
0
zomboko jr :
dah kaka ninae ananitesa sana
2026-11-22 04:58:48
0
Jack mongi :
bro nikweli nimetoka baada ya kuku fatiria nimepata kazi na nimepata pakukaa
2026-11-17 19:05:28
0
Avocado Oil Producer Tanzania :
in addition hao narcissist pia they are monitoring spirits. katika ulimwengu wa Roho. devils are supporting them. hata ukitaka kufanya kitu kinaharibika.
2026-11-17 05:14:32
2
noela collection store :
nassist ni mtu wa aina gani plz
2026-11-16 12:45:51
0
Neejah :
nmeondok kwney mikon yake najitia kuniomb msamah 😂😂nyie acheni na hawa watu n wabad kumbe n kunijarb naendlea vp ndy nia yake na sio live wala nn mana nlkaa kiny hakuamin . nmeteseka nyie😂😂😂Ila mungu ni mwema
2026-11-16 22:33:54
1
Betty :
awa nastic wana wivu na wanakatisha tamaa. ukiwashtukia wanajifanya kujishusha kuomba msamaha ili waendelee kukunyonya energy yako
tumewashtukia😂😂😂
2026-11-17 13:23:03
0
Piscace Vulukumecho :
kaka mutu anapacha zala nanasisiti
2026-11-17 16:38:22
0
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm
homepage.