@living_magic_store: Story ya mdada anayeishi china akifanya kazi ya kujiuza ili maisha yaendelee💔💔💔💔💔#tanzaniatiktok #zanzibartiktok #kenyantiktok🇰🇪 #oman🇴🇲 #africa

ZANZIBAR COSMETICS
ZANZIBAR COSMETICS
Open In TikTok:
Region: US
Monday 16 November 2026 10:38:14 GMT
96771
5742
214
313

Music

Download

Comments

halimajuma81
mimah🇹🇿🇴🇲 :
kwani ticket ya ndege mpk china bei gani jaman mpk amdai milioni 10😳
2026-11-16 17:08:10
4
living_magic_store
ZANZIBAR COSMETICS :
WENGI MNASEMA MCHANGIE PESA ARUDI,SIO KAMA HANA PESA LKN ANAHITAJI MSAADA WA SAIKOLOJIA BEFORE YA PESA
2026-11-16 15:48:37
21
mamdogo50
Mamdogo :
Nimekuona umekunywa soda halafu sisi ulitukataza🤭
2026-11-16 11:29:19
79
rachaelmwita118
❣️💓Am rachael🥰💞 :
mimi nae kwenda nchi nyingine naogopa jamn
2026-11-16 13:57:37
38
ummygilbertmsuya
Jenifa msuya💕💕🇹🇿🇹🇿 :
Nisaidie namba yake nimshaur kitu
2026-11-16 11:07:06
22
karisanaby
karisah baby🥰 :
kwahio ucku mmoja nimilioni mbili kweli au utani😁😁
2026-11-16 11:50:11
24
amina.mgeni17
amina Mgeni :
akupe namba yake hiyo Binti ili watanzania wamvhangie alipe Hilo deni na hela ya ticket arudi TZ.
2026-11-16 15:56:26
6
emmanuel_the_sailor
masanja_shining_point :
brother ukirudi anzisha mchango tumchangie arudi binafsi sikujui tofauti na kukuona TikTok but nakuamini utafikisha nauli kwa huyo binti
2026-11-16 13:55:44
9
mamapcosmats
Mama P cosmats arusha ngaramto :
unda group kama yuko tayar asaidwe Arudi nyumbani kaka
2026-11-16 10:53:49
38
user4166953761758
user4166953761758 :
Haki niuzuni[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-11-16 13:51:06
0
lizzytz2557
lizzytz2557 :
dah kumbe uko China bff niletee zile bags zinazovuma
2026-11-16 23:15:56
0
_nyxara4
Nyxara👸🇹🇿🇬🇧 :
Nina rafiki yangu yupo huko sielew kama yupo salama jamani hapatikani online 😢😢
2026-11-16 22:16:29
0
mamaalani726
Mama Alani :
MUNGU atusaidie sana....ndugu cjui wamekuwaje
2026-11-16 12:42:16
7
its_aurelia6
its_Aurelia :
utajili nautaka ila nchi za watu naziogopa
2026-11-16 10:47:58
27
mars_george_
Hermes 🍀 :
Tumchangie au😅😅😅
2026-11-16 11:39:22
16
wardros4
wardros :
Mashangazi Mungu Anawaona wallah
2026-11-16 11:45:42
8
chauremboskincare
Chaurembo Skincare kigoma&Dar :
Aisee Mungu amtetee. huyo Auntie Yake mbaya sana
2026-11-16 11:15:28
6
debomeddy
mrs juma shibe 💍❣️💞🙏 :
ila kuna ndugu wengn wana roho mbya sana 🥺🥺🥺🥺
2026-11-16 11:41:17
6
irynjohnie937
Reentrue :
@Reentrue: Alikuadisia umsaidie so toa msaada hata kwa balozi
2026-11-16 20:46:39
0
momv4066
mom viiiii🫀 :
Mimi kusafiri ni ndani ya Tanzania mikoa yote nitaenda lkn injee ya injiii hapana 🙌
2026-11-16 15:40:53
3
mamitajeki
mamitajeki :
Huyo bint anaonekana amesharidhika na hayo maisha,kwasbb kweny maelezo yake baada ya kukupa hyo story vp ameomba msaada au anataman kurudi Tanzania?
2026-11-16 19:24:12
3
its.vee623
IT'S VEE :
Kila usik
2026-11-16 16:30:33
3
haiyallay
Haiyallay :
kaka mim nakuamin fanya tumsaidie uyo dada please 🥺🥺🥺 sema neno watanzania tutaamka na kumpambania mwenzetu
2026-11-16 11:52:26
3
user7590817627837
Charles🏝 :
kama magomeni kanisani nishamjua kna mtoto wa jirani yetu wa kike alipoteleaga china kwa ndugu yake
2026-11-16 19:03:40
2
da.winx.gal
da winx gal :
so wote,,, ila ndugu upande wa baba hpn kwa kwel 🙌🙌😢🥺
2026-11-16 13:42:00
3
To see more videos from user @living_magic_store, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About