@yohanamwaitenda:

Yohana Mwaitenda
Yohana Mwaitenda
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 November 2026 11:05:21 GMT
124710
3392
293
338

Music

Download

Comments

daddygee34
Official @dacky :
msisahau hiyo n miezi wakuu 😂😂
2026-11-16 16:30:23
79
kingruthajr17
ruthajr17 :
Kamuulize Chivayooo😁😁😁
2026-11-16 14:06:09
50
yusuphjulius
BUPILIPILI :
miaka 48 inanitosha sana ngoja niende sasa
2026-11-16 15:59:36
46
vee53377
vee :
naruhusiwaa kwendaa na kuku wangu mwenye njaa??😂😂😂
2026-11-16 17:55:11
14
lizycandy1
Elizabeth chaula🦋🌹👸 :
me akila machache nakamata namkula na yey
2026-11-16 11:49:58
27
yusbardqv
yusbar :
kuna siku nilienda bhana akarushiwa mahindi mara ghafra naona kadonoa moja alafu analikata vipande vipande nikamwambia mganga bas nimegaili
2026-11-16 16:39:22
10
mr.professional.c
Mr Professional Curl :
mwanangu tumetoboa inatutosha kabisa
2026-11-16 15:38:38
8
isaya.kabelege
Isaya Kabelege :
49
2026-11-16 13:51:39
8
ndossijr01
mchaggaOg. :
bila shaka hiyo ni miezi sio miaka😂
2026-11-16 17:12:10
1
user6156714186738
TURUBA. co.tz :
hayo ni masaa jamn
2026-11-16 19:58:35
1
salmon_30_3
Salmon :
miaka mingi sana iyo
2026-11-16 17:07:04
1
bidamtwaha
Bidam Twaha :
hizo ni siku sio.miaka
2026-11-16 18:52:42
0
shukimboi
Rideordie :
Akila mengi 6 mpaka 7 hiyo ndio torati yetu
2026-11-16 15:56:23
6
user2157427457854
mustakim seif 5000 :
unajua haiwausu ila hii sauti nilikua naisikiaga tu tik tok ilajana bhna nimeishuhudia kwangu mida yatano hivi usiku walikua wawili bhna nilicheka sana😂😂😂😂😂
2026-11-16 17:19:12
1
ligwaboytz
ligwa boy TZ :
Uyu sio wa tunduma
2026-11-16 16:39:20
5
user3125882157530
user3125882157530 :
kuna jamaa yuko vizuri kwenye nguvu za giza alienda kwa mganga kwa utajiri wa kuku kula mahindi basi kuku akala mahindi 60 ..mmh mganga akasema hapana tuludie mala ya pili kuku akala mahindi 75 mganga akamfukuza jamaa akaona anachezea kazi za watu
2026-11-16 19:15:39
2
mbishij
#mbishiJ :
aaaweeeh miaka 48 inatosha kabisa em toeni locatin chap chap niende au kuku alikua na njaa msije mkanipinza akala maindi mawili[Heartwarming][Tears of joy]
2026-11-16 16:33:15
3
tarakeavibes
Tarakea Vibes :
ambae hajaelewa kama mimi tujuane
2026-11-16 18:59:19
2
user8460065887426
Christina :
Mbona umempa kidogo kaongeze mahindi sasa ili aendelee kula 😅😅😅
2026-11-16 17:07:52
3
mafuta.dodoma.aliz
MODERN VIEW SUNFLOWER OIL.DOM :
27+40
2026-11-16 16:22:42
1
le.king.tiz
Le king Tiz :
na bado alkua anahitaji mengine
2026-11-16 18:22:46
1
sadicksiraji
Buberwa :
50
2026-11-16 16:04:30
1
dodoma.aura
Dodoma Aura :
oya side mbona mingi sana hyo inatutosha
2026-11-16 16:21:54
2
abasirashid935
Abasi Rash :
bbas
2026-11-16 16:24:28
1
jumo.harder
jumo harder :
ngoja nicheke halfu basi
2026-11-16 14:15:01
3
To see more videos from user @yohanamwaitenda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About