mwingine aliniambia ati na ukae ukijua hapa si kwenuu😭😭
2026-11-17 05:19:42
143
my type :
mpaka nikaamua kufanya kazi ya club🥺🥺
2026-11-17 10:08:52
64
de- young-91 :
God will answer that question positively I feel that pain mah sister🥰🥰🥰🥰
2026-11-16 21:15:00
61
Shanty :
Mungu ukinibariki kumbuka all single mothers
2026-11-17 12:01:02
52
❣️❤️🔥Joy🇰🇪+254🇰🇪 :
mwingine aliniuliza ety kwani sina mamangu 🥺
2026-11-17 08:59:07
24
ronoh💕💕 :
sorry sana usijali swa
2026-11-17 20:10:09
6
viola joy :
Mimi boss wangu alikuwa na gari so shulee ikifungwa anatupeleka ushagoo nikitaka kuingia Kwa gari mtoi ananisukuma na kunikatasa nisiingie Bado inaniuma
2026-11-17 18:29:32
6
Dante mathewz🇦🇺 :
ngwaan any
2026-11-17 07:39:47
6
ķoʻsgʻèì :
mbona imeniuma sana mamaa fumilia ipo siku
2026-11-16 16:13:56
18
🇰🇪 pink sparkle 🇺🇲 :
this is not home for you😭😭😭
2026-11-17 09:22:24
19
nelias wilsons💯 :
mwingine nilimwambia ajifunze kuosha viombo na nguo ananiambia yeye akikua mkubwa hatakua maid kama Mimi 😭😭😭😭😭😭 Gase Nani anatreat house help vizuri sai🙏🙏🙏
2026-11-17 09:01:03
14
kiptoo :
A very hard one to answer😭😭
2026-11-17 05:17:42
6
cheroo🥰 :
akih nimewahi ambiwa ivo sijewahi heal akih 😭
2026-11-17 06:03:05
7
Zara Beverly :
😭😭😭😭😭aki machozi imenitoka
2026-11-17 12:15:27
5
CALEE MEDIA 🇰🇪 :
So sad aki nafeel vibaya 😭😭😭
2026-11-17 04:58:53
7
#Eliam Fasco :
that's a very very difficult question to answer, 😭😭😭
2026-11-16 23:18:15
5
Michelle :
sijui mbona nalia😳😳😳
2026-11-17 05:14:06
5
Geoffrey ijakaageoffrey147@mai :
kuna maswali zingine unaeza ulizwa ukashindwa kujibu but it makes you to cry coz ulisahau just to smile questions like uko na wazazi wote,,,,,na mbona uendi nyumbani, mbna hujaoa never try to ask me such kind of questions hiyo NI Siri yangu maybe that one I will explain the day I will marry and akue wife grown up.
2026-11-17 06:50:12
8
Mrs Kibee❤️ :
my situation too being ask do you have even house
2026-11-18 14:43:32
1
Wnnie🇰🇪 :
Mungu kumbuka all house helps😔
2026-11-18 11:58:45
4
Queen d👑 :
l understand your pain🫣🤔, worry not.....
2026-11-17 22:34:46
0
monicy :
amen🙏🙏🙏🙏
2026-11-17 09:29:59
1
salomekhasandi :
weee
2026-11-17 07:51:45
1
Chelang'at Rachel :
hatuezi fanya umaid forever our story must change coz no situation is permanent
2026-11-17 22:00:39
1
To see more videos from user @itsmoraa69, please go to the Tikwm
homepage.