Huyo jamaa mwenye mawani anaonekana ana Akili, Kila awali anajibiwa kwa ufasaha, Kila akileta maswali ya hivyo anajibiwa vizuri tuu
2026-11-18 08:55:33
2
Salim :
saf sn anayejib Nina Salio lako
2026-11-18 10:39:14
1
Asham :
nilicho kijua mmoja simba mmoja yanga 😂😂😂maana si kwa maswali hayo na majibu kabambe😂😂
2026-11-18 07:31:28
1
Chrispine :
Mangungu kinacho muhukumu ni kutokua karibu na Wanachama mfano hata kama ameitisha mkutano ikifika mda wa kuuliza maswali anafunga Kikao, harfu anakaa kimya sehemu anayo Ona haiko Sawa kiongozi kama huyo hafai,
2026-11-18 15:36:44
1
mwini Gombez :
aliyevaa microphone saluti broooo, majibu ya moto alafu fact tupu
2026-11-18 04:03:53
3
jeffy jefy :
bro mwenye Kiwani yuko vizur
2026-11-18 11:10:00
1
mawegabick :
uko vinzur huo ndo uhalisia
2026-11-17 05:56:42
1
Gidion :
good argument
2026-11-17 11:03:21
1
kiponyo :
nimependa kijana kamnyoosha jamaaa mpaka kapoa
2026-11-18 09:11:08
1
betterhelthvibe :
ukiskia bampa to bampa ndio hiii ss ukizubaa unaacha ndala mwamba saluti kwako
2026-11-18 02:58:47
2
Kilindo the driver :
Safi kwa maswali mazuri
2026-11-18 06:08:42
1
userkhamis5588 :
wame kutana
2026-11-18 06:22:37
1
PRT :
hata km mwenyekiti awe upande wa mwekezaji tunachokitaka maendeleo ya timu, na siyo kuwa na viongoz njaa
2026-11-17 06:45:22
2
shedboy08 :
mwekezaji anaingiaje kwenye maswali ya uchanguzi wa mwenyekiti wa wanachama.mpmbv w
2026-11-16 17:22:36
2
kingxtar02 :
dah hawa ndo wakusikiliza sasa, upande motooo na majibu yanatoka moto pia
2026-11-17 14:54:19
1
Samson. nestory nkono :
kwani inchi ikikosa amani nani alaumiwe?
2026-11-16 17:29:08
2
Mr David :
Dah!!
2026-11-17 05:12:52
1
chitta boy :
Kwan hii Media gan
2026-11-16 20:44:24
1
FUKANG,R :
kaka umetuwakilisha Wana simba
2026-11-18 16:20:28
0
sabuni_jr :
Broo una akili kuliko mwandishi
2026-11-18 20:14:56
0
abdallahmchambwa :
mashabiki wanaropoka2 hakuna wanacho kijuwa
2026-11-18 18:08:52
0
Ayubu Benard :
akili kubwa sana kwa huyo jamaa mwenye Red
2026-11-18 16:54:45
1
thedonfrank :
mwandishi uyu yukowapi jamani😁😁
2026-11-18 17:31:38
0
injinia jr :
mbn mwandish anagoma
2026-11-18 20:35:48
0
To see more videos from user @elias.decorator, please go to the Tikwm
homepage.