Philip NGONJI :
baba Koko ,moyo wake upo ganzini umeganda ndani ya furiji,na barafu,,,moyo Hauwezi kuganda bila furiji,zima umeme au usiweke Luku umeme uishe,,,ili furiji isifanye KAZI,,,,nikisema usiweke luku,na nikisema kuzima umeme ni kaazi mno maana umeme wakati mwingine umeme unashoti.
2026-11-18 11:50:31