@elimuyamazingira: JINSI YA KUNG'AAA BILA KIPODOZI CHOCHOTE. #creatorsearchinsights #tanzaniacontentcreators #kenyantiktok #zanzibar #oman

Elimuyamazingira
Elimuyamazingira
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 November 2026 14:26:54 GMT
27769
862
72
247

Music

Download

Comments

nuruibrahim978
official _ traders :
pumba za mahindi ndo kitu nilitumiaga wakat najiandaa kwenye harusi yangu
2026-11-17 13:44:31
18
mosrenyl
mosrenyl :
Anaoatikana wap
2026-11-17 06:13:23
0
kimamy336
🧚🏼‍♀️zuri🧚🏼‍♀️ :
tunasubiri io ya manjano
2026-11-17 05:53:03
2
user2523519284231
Mariam :
hung'ai moja kwa moja bn,hizo n scrubs tu za kutoa uchafu na dead skin,
2026-11-17 04:32:19
4
user4141835127520
user4141835127520 :
kweli kama as wazaramu ndovitu vetu
2026-11-17 04:09:09
5
furaha.oddo
Furaha🌹🌸 :
apooo mwishoo kwenyee youghout apoo paongelewee vizuriii😁😁😁
2026-11-17 13:41:31
2
official_zahrat
Binti mfalme ♋️ :
nilitumia wakati wa unyango wangu nikikuwa mzungu
2026-11-18 20:55:32
0
geaniuz8
Geaniuz :
Makumba ndio nini
2026-11-17 05:11:07
0
kevoocosmeticstore0
kevoo cosmetic&store :
tujaribu
2026-11-17 03:01:07
1
zelikhay
Zelikhay❤️🥀 :
Yanawasha hatar
2026-11-17 20:07:41
0
quema96
Lizy Queen :
pumba Ile ya kuku au
2026-11-17 10:48:35
0
97179147momo
momo :
ni kweli
2026-11-19 04:05:49
1
rikhanan
Rikhanan :
atuache bana
2026-11-19 21:05:10
0
www.tiktokcutieb
Sobby 🌸♏️ :
Ayo mazuri mno
2026-11-18 06:59:34
1
mamuujabiri
Mamuu Jabiri :
vipimo kiasi gani kati ya maji ya mapumba
2026-11-17 13:02:30
1
_hapecom_
ESALE :
Naomba dawa ya mba za mwilini
2026-11-17 06:27:21
0
aliceedward3
Chosen girl :
Ni kweli
2026-11-19 12:05:36
0
furaha.oddo
Furaha🌹🌸 :
apoo kwenyeee yogatiii jamaniii tuwekeee wapiii
2026-11-17 13:42:27
1
user5607116280028
al abuju :
Masha allah
2026-11-16 18:45:18
1
millieawour
QueenB :
asante sana.nsomba kufollow hyu dadangu anaitwaje naweza jifunza na zingine mengi naomba jina yake nimufollow
2026-11-17 06:13:24
0
millieawour
QueenB :
nimekufollow najifunza niko na shida ya Rheumatoid arthritis
2026-11-17 06:14:46
0
_neylee0
neylee💜 :
umpate anaejua kusugua sasa mpk mwili unawaka moto 😁😁
2026-11-18 08:43:26
0
ayman_b_m
AYMAN Lastborn 🫶🙏🥰 :
Wali wa zmn warugulu na wazaramo mpoooooo🤣🤣🤣🤣
2026-11-17 04:51:02
3
shirazybusiness
SHIRAZY BUSINESS :
Au ya mtama
2026-11-17 18:12:41
1
leticiauser2620412481145
Leticia :
kisingwa ma bibi harusi wa kitambo ndio walikua nafanyiwa ivo🤣🤣🤣 mwezi mzima akitoka umo 🤣🤣 ngozi lele lele
2026-11-17 14:30:52
0
To see more videos from user @elimuyamazingira, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About