Mine said ameenda Kisumu for work. Mimi nikaenda Suswa starehe. Gathee tulipatana na hio ninja Ewaso Kedong na hio barabara hainanga magari. Siwezi finya niende, ju niko 1.5l yeye ako na 3l. Ah ilibidi tufuatana mpaka kwa nyumba😅
2026-11-18 08:36:03
47
Nolly Michael 🫧🍂 :
Nakumbuka mm na kaka tulikuwa tunawahi kurudisha af tunafagia alama za tairi zisiinekane 😂😂😂
2026-11-18 13:56:17
36
flecko :
hii Kenya ni kama ni Mimi solo si Dynasty 😂😂
2026-11-19 07:24:36
7
Muriithi 💪 :
Mzee:"Na si umenipita hapa juu kama. risasi na ukajifanya haunijui?"