@samwely.mwinuka2: #creatorsearchinsights #reunionstoriesafteryearsapart TUNAENDELEA NA DALASA LA STICH KARIBUNI SANA #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #viraltiktok
mi nikiolewa na mwanaume mwenye kipaji iki uywele wangu utazidi kipndeza san maan kil mda ntakuwa nabadilisha mitindo nkuwa mtu mwenye mitindo ya nywele
2026-11-16 19:31:32
7
cute mayr♥️ :
teach mnapatikn wap naitj kwel kujifunza
2026-11-18 21:25:33
1
𝐂𝐇𝐀𝐙!..𝐋𝐘𝐑𝐈𝐂𝐒 💥🔞💫 :
[Perfect score][Perfect score][Perfect score] unafundisha vzuri sana 10/10
2026-11-17 15:02:08
1
GiftAni panel :
mnapatkana wap
2026-11-18 08:31:46
1
cute t :
Mwalimu umenyoosha mstar vzur njoo unyooshe na maisha yangu
2026-11-18 16:37:14
1
MRS IBRAAH OG🥰 :
ada shngap mwalim miez 3
2026-11-17 10:37:05
3
bujikusdaughter :
kushikwashikwa kichwani na watu wengi ndo nashindwa kabisa
2026-11-18 11:44:52
0
salvina beda :
Duuuuh techer iyo sauti jamani kama unambembeleza mkeo
2026-11-17 15:16:22
1
Victoria Muhammad :
upon wap kaka
2026-11-17 12:29:10
1
double p tz :
bei shingap
2026-11-17 19:48:59
1
recholizy chazy :
unajua kufundisha jamani nimeisevu ili nijifunze
2026-11-18 08:45:24
1
noewin🎄❤️ :
asante kwa somo, kama nywele sio natural, sio lazima kupaka jelly juu wakati unaendelea kusuka?
2026-11-17 15:59:08
1
♏️🦂 babe :
mm nipo zanzibar ni msusi ila nahitaji kuja kujifunza baadhi ya nywele sa itakuaje teacher ntafkia wapi na uwezo wangu kiuchumi ni mdogo sana 😭😭
2026-11-17 05:19:29
1
🦋fehy🍒CASHPOINT 💸 :
Unajua kuelekeza vizuur
2026-11-17 17:04:45
1
Margreth Alex :
ww ni mwalimu mzuri sana[Heartwarming]
2026-11-18 09:21:48
1
pesh :
unaweza tumia waxi badala jeli
2026-11-17 08:23:56
2
resty :
asante yaan nimeelewa
2026-11-19 03:15:06
1
mrs 🎀fadhir🥰 :
upo wap
2026-11-17 12:36:43
1
ms_ jovinatha🥰 :
me napenda kichwa changu mtu ajifunzie kusuka
2026-11-16 20:27:04
4
leilaamini86 :
up wp
2026-11-17 09:57:02
1
juditharombo991 :
Aksante sana Kaka sasa nimefaamu vizuri.Judith DRC
2026-11-18 06:19:43
1
betty pretty :
hapo nimeelewa jinsi ya kuweka Rasta ndioo nashindwa
2026-11-17 15:25:31
0
To see more videos from user @samwely.mwinuka2, please go to the Tikwm
homepage.