mbona tunao wengi waliochelewa na wana watoto wa kiume
2026-11-16 21:24:39
12
Mandomi. 🇹🇿🇱🇷 :
Hmm, I don't think it's true that giving birth early means having male children, I reject this.
2026-11-18 06:08:06
3
user91869419606305 :
kupta mtoto wa kike na wakiume huwa nimapenz yak Mungu
2026-11-20 08:34:50
2
Felician Peter :
Hakuna ukweli hapo
2026-11-18 03:38:18
2
Jackson's kinono :
kama Kuna ukweli ivi
2026-11-17 06:42:49
4
Nathan :
hii imeenda
2026-11-20 05:53:52
1
Rhoda Paul😊🤭 :
Mimi askofu na mama askofu wangu wana mabinti 8 Hawana Mkaka Hata Mmoja na ameolewa Mwaka 80 huko ...
lakini pia Mnaweza walaumu mabinti Kwamba Wanafata pesa Ila Kila angle ya Dunia inamsisitiza Mwanamke atafte pesa (kanisani tunasstizwa hivyo,mtaani hivyo,mashulen n.k) ukichanganya na Maisha yalivyobadilika,, mabinti Tutafte PESA Tu 🙌🙌🙌
na Swali la Kujiulza je nisipotafta PESA Ndipo Nitaolewa Haraka kabla ya miaka 28 hiyo???
nikae nisubir kuolewa???
2026-11-16 19:11:05
5
Wilson Ngoye :
si kweli. kuna familia ina watoto wanne wa kike walitangulia kuzaliwa then wakafuata wa kiume wanne
2026-11-17 17:53:46
2
evanee022 :
Mhhhh kwani huwa mnafanya reserch kwanza ndo mnafundisha waumini kwanza ,Coz hicho kitu sizani kama ni kweli
2026-11-19 19:46:04
0
esien store :
sisi tulizaliwa wakiume wanne wakike watatu watoto wa kwanza wawil wakiume akaja wa kike wakaja wakiume tena wawilii ndyo wa wawil mwisho wakike
2026-11-18 04:23:28
3
DON DE DIEU RENÉ :
kweli
2026-11-18 21:50:35
1
Annie Mwakarobo :
kwa hapa ni uongo
2026-11-18 22:54:52
1
jay pacha tilwa🙏🙏🤝 :
apana mbona mama aliolewa na miaka 41 na amezaa wakiume 2 wakikie ni mmoja na ndo wa mwisho
2026-11-19 05:38:42
1
Xymera :
na malast born wengi ni wakiume na mafisrt born wengi ni wakike kwenye familia nyingi hii nayo tunaiteteaje
2026-11-19 04:40:33
1
user9574567346991 :
kweli'kabisa
2026-11-18 15:54:14
1
Iswalala Sweke :
100%
2026-11-18 09:01:40
1
MasterDizzo :
true
2026-11-17 20:24:14
1
Felician Peter :
Sometime una point ila kwa swala la kuzaa huo ni uongo
2026-11-18 19:58:44
1
kadadaa88 :
Power si kwa ajili ya mahusiano,ni kwa ajili ya kutakataa hayo mahusiano. power tunazo na tunatamba nazo....😂
2026-11-17 05:05:29
5
Happy Jackson :
siamini
2026-11-17 21:11:31
1
SHB. :
The father is the only determinant of gender of the children, hii n biology chromosomes XY hutoka kwa baba, XX chromosomes kwa mama.... ukichanganya hapo only probability ya kupata XY child ambae ni wakiume comes from father.
2026-11-18 13:43:21
1
user9665133713791 :
si sikie
2026-11-18 06:39:31
1
Abdulmalik Haji :
nikweli mwalim naamini maneno yako
2026-11-16 18:25:59
3
Sarah Mndewa :
si kweli
2026-11-17 06:16:57
2
khamisi tz pesa :
kweli kabisa
2026-11-17 06:57:52
2
To see more videos from user @mandikilochronicles, please go to the Tikwm
homepage.