😂😂😂😂Mmewakilisha taifa vizuri,hamjaenda huko kuchekesha
2026-11-17 09:39:48
241
Camilla667hk :
Bora hata mliongea Kiswahili Watajua hukohuko😂😂😂
2026-11-16 18:45:48
104
user9156941072660 :
Me too in english
2026-11-21 17:50:50
0
anene :
m nlkuwa nasoma mbeya Kuna sku Niko kwenye gar naelekea tukuyu gar lipo speed balaa...ila pemben nje wazungu wako wanaendesha baisel weng kama ishrn🤣🤣🤣nlkuwa na chupa la maji mekunywa nikamrushia mmja kwaniaba yamababu🤣🤣🤣kilichotokea sasa
2026-11-17 08:03:42
30
Maryam🌸🌸🌸 :
nimekuona Kwa mara ya kwanza Leo lakini nimekupenda🥰🥰🥰
2026-11-17 08:49:13
68
PetalsofPhier🌸 :
Wamekuja Africa afu wanaleta racism🤣🤣🤣🤣💔Nmefurahi keep the Good work sister🤗❤️
2026-11-16 20:20:48
24
michenzani_zanzibar :
I am a white Arabian guy. Lkn hizi tabia zetu zinanikwaza mno. Yaani tunavyojiona sipendi kiupande naona ovyo asaa. Mm sitokuja kukaa chini nikamchokoza mtu au ubaguzi kisa etty ni mweusi. Mm ni mswahili by the way. Wabaguzi sana sana mm sipendi asaa
2026-11-17 07:21:39
52
Tasher :
Hatukuja hapa kucheza 😏😂
2026-11-17 06:28:36
37
I'm a free soul :
wanapenda kuabudiwa sana 😂😂
2026-11-16 19:28:38
27
jacklinesewando :
in your life time 😂😂😂😂
2026-11-21 19:37:28
0
Norah The Explorer :
Napenda stori niienjoy halafu nikiangalia kimstari ndo kwanza ipo nusu nafurahi sana🤣🤣🤣
2026-11-17 20:32:06
12
Bravery 🪐✨️ :
hakuna kutia huruma we are not our ancestors 😂😂😂
2026-11-16 22:55:34
22
baba_charity :
Hakika mlijua kuwanyoosha 😁🔥
2026-11-16 20:03:55
18
Afro Beauty🇹🇿🇨🇭 :
kumbe tupo wengi 😂 kuna siku nilikiwasha katika treni wenyeji wangu hawakuamini😂😂
2026-11-17 04:06:05
38
Alfredy Car Rentals :
Tutakukuta marrakech tupo Rabat tunakuja uko thursday
2026-11-16 20:05:47
34
Angel :
nianze kujifunza matusi ya kiingereza,,,my anger issue nazijua vizuri
2026-11-17 13:55:21
20
Orxavian Luxford ♍️ :
Nashukuru mmetuwakilisha proud of you
2026-11-16 20:57:26
5
kidotty.ceo :
Navosikiliza kwa makini😂😂😂
2026-11-16 21:24:09
5
To see more videos from user @lomiez, please go to the Tikwm
homepage.