Mtoto aliedharauliwa na kukataliwa na wazazi inakuwa nuks hata kwenye Maisha na ndoa mtoto asiependwa kwao hawezi pendwa na mweza wake na hasa akiwa mwanamke asilimia kubwa ya wanawake wanaodhalilika na kutoheshimika kwenye ndoa ni kwa sababu wanaume wanajua huna familia imara inayoweza kukutetea kwa yale mateso anayokupa
2026-11-17 04:56:56
108
🥥🤐 :
nifanyaje baba yangu aipateee
2026-11-17 09:53:41
54
JOH PLA TZ😎 :
Mpaka leo simjui baba yangu nina miaka 29 kaniacha nikiwa mdogo na ndugu zake wamenikataa
2026-11-18 04:12:20
26
Nicole Ivona :
point ni kwamba kama haumpendi binti wa watu acha kuhaidi uongo kuwa unampenda au bora tumia kinga 😰😰
2026-11-18 07:49:35
18
official kidoti 🥰🥰😘 :
baba ang kila cku anatukataa sis sio watoto wke wallah inauma lkn naamn mung yupo pamoj nas
2026-11-17 15:08:50
6
fatuma ❣️ :
me huyo nilio kataliwa na mzazi ni mwaka sasa 🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹
2026-11-17 05:51:58
7
Noryeen Minja :
Niulizeni mm😭wazaz wanakukataa alafu baadae wanakuja tena kukuomba msaada😭.Nimewablock wote
2026-11-17 11:23:10
9
𝑼𝑯𝑰𝑩Ɓ𝑼𝑲 🥀 :
natamani nije nimuoe yatima mwenzangu naimani kila mtu ataelewa umuhimu wa mzazi kwa mtoto
2026-11-18 05:10:28
7
mtoto wa miriam💕💘💘 :
Nimewakataliwa lakini saa hii ananitaka sijui nifanye nini inauma sana nadhani anataka pesa zangu
2026-11-17 13:11:14
6
Riri :
sijui nalia nini😭 ngoja tu nikae kimnya
2026-11-17 18:53:05
16
🌚🌚🌚 :
Mm baba yangu alinifukuza nyumbani kisa nimempiga mdogo wangu alinikosea nilikuwa namuonya tu lakin nilifukuzwa saa tano usiku nisijue nn cha kufanya niliomba msamaha sana nikaomba hata niondoke asubuhi lakini hakuna aliye nisikiliza mpaka leo namchukia babaangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-18 06:02:43
1
perry :
mama angu aliniambiaga anaomba nimsamehe kwa kunichagulia baba mbaya ambaye hajawahi kumpa ata elfu 10 ya kunilea nililia siku mbili
2026-11-17 16:18:10
13
Vaileth peter :
Me mama yangu alikuwa ananifukuza adi usiku wa manane wallahi majitaisgi kusahau lakini nashindwa alishawahi kunifungia asi choo nisi jisaidie ye akaondoka na funguo aloo 😭😭 nashindwa kusahau mm nimepigiwa sana na ndugu zake kwa sababu nilikuwa sina pakwenda mama anifukuza nani angenipenda mm 😭 mpk leo sijawahi pendwa mm kwenye maisha yangu Mungu baba ndie ajuwae niliyo yapitia ni mengi hata niki ya elezea hapa ayata tosha ngoja nilie tu😭😭😭😭
2026-11-20 05:13:30
5
CHEED BOY :
mkuu mbn umegusaa penyewe ndo mm nimepitia an najua uchungu wake
2026-11-17 02:39:03
11
user Jenista Munisi :
ni kweli wazazi ni chazo cha watoto kuteseka maana tunazaa huku hawapo tayari kuitwa baba
2026-11-17 03:29:39
5
King🦅Colombiano :
Hee mungu wangu nisaidie na Mimi nipe nguvu ya kutafuta niwe na uwezo wa kujitemegea mwenyewe Niko peakeangu ninabaguliwa sana nyumbani Kwa baba bila sababu hee mungu wangu nisaidie
2026-11-17 07:48:47
5
samootz :
zman nlikuwga nalia ila saiv nami na family uwaga na waza lamza watoto wangu ni waudumie kwa lolote lile wasije ishi maisha nilo ishi kaa mm
ilikuwa mmwezi wa 6 mwaka 2026 hii siku siwezi kuisahau kabisa sijui wanaosemaga wanawaoenda wazazi wao ila kwangu mimi nilijikabidhi kwa mungu siku hiyohiyo sitaki hata kumuona hasa baba 🥺🥺🥺 nyiee tunapitia magumu sana hapa duniani
2026-11-18 12:59:19
0
user2010784574287 :
baba alinikataa nikuwa nimeshakuwa mtu mzima akanitafuta ila nibaada ya kungua sana ya mimi nilifanikisha kumuona mara moja kwenye maisha
mungu akubariki sana baba yangu mahali popote ulipo ulitupa watoto wako malezi yote anayo stahili mtoto🔥🔥🔥
2026-11-18 14:33:10
2
Miswaga Tz :
acha watu wazae utajiri anatoa Mungu wangapi washapambana na bado ni maskini adi leo
2026-11-17 14:41:58
1
NAYRA KAJALA ❤️ :
nilikataliwa naiyo sababu juzi mdogo wangu tumegomban kdog akasema Mimi siyo dada yake mi nimtu Baki na dada ake ashakufa akasema Wala Mimi siyo baba mmoja hanipendi [Crying][Crying]
2026-11-17 06:26:33
4
To see more videos from user @adui_fact, please go to the Tikwm
homepage.