ndugu yangu, BIBLIA Imeandikwa Kwa mifano. nasikitika mchungaji hujui mafumbo ya BIBLIA Yana maana Gani. Israel ya kimwili ni mfano wa Israel ya kiroho ya Sasa. Mungu aliteua taifa la Israel kufundisha kuhusu Israel ya kiroho.
2026-11-17 06:15:22
13
Nancy OJ :
Africa is awakening 🙏🙏🙏
2026-11-17 16:41:37
0
danieljaphetmiboki :
Spirit of awakening 💪
2026-11-17 17:27:23
0
𝕊𝕚𝕝𝕖𝕟𝕥𝕎𝕠𝕝𝕗 :
Huyu ndo mchungaji wangu sasa
2026-11-17 05:58:37
107
user7057190581619 :
tutaomba vp mababu zetu wakati aclimia kubwa ya mababu walikua wachawi alafu kuna hao mababu waliotumika ktk kazi y Mungu .tuombe mungu wa babu yng km babu yng alikua mchawi je c naabudu miungu sasa jmn .jmn tukickiliza kila mtumishi tutachanganyikiwa sn bora kujifunza neno n kusali useme mwenyewe n Mungu akujuze yooote
2026-11-16 20:46:58
19
Dexterious house solutions :
motivational speakers..
2026-11-17 15:30:37
0
Ngonifaceless channel :
Tumerogwa sisi jinsi tunavyosoma na degree zetu ndio tumezidi kuwa wajinga
2026-11-17 04:29:19
40
MANUKATO YA SIFA :
HAMNA NI MUNGU MWENYEWE ALIJITAMBULISHA HVYO KWA ISAKA NA YAKOBO NA IBRAHIM
MUNGU AKAMWAMBIA GEDION MM NI MUNGU W BABA YAKO IBRAHIM,ISAKA NA YAKOBO
2026-11-16 19:32:07
44
Allen mwalyanga :
Jaman aliemfundisha Mwandambo kutengeneza content ya hvi ku cut video ametukosea saana tunateseka😅😅😅😅
2026-11-16 20:13:12
127
bresh :
wooooow,👏👏👏
2026-11-17 14:39:56
0
synaGive :
mi kwa mawazo yangu mie nafikilia shetani ayupo maana vitu vyote anavyo fanya tunasema shetani binadamu ndio anavifanya hivo hivo ko kunauwezekano shetani ndio binadamu mwenyewe ,ambae
2026-11-16 21:46:05
6
Off2tanzaniasafaris :
ushauri wako nini sasa?
2026-11-17 05:56:00
8
samsonilukosi :
ila mgogo ww ni mkweli sana
2026-11-17 07:33:09
8
Oscar lugumi :
Mimi nasema Mungu wa mwamalundi
2026-11-16 19:21:13
33
Edson Kabanyegeye :
muchungaji nikifanikiwa kufika mbinguni niskukute mungu aandae majibu ya kunijibu
2026-11-16 19:05:45
22
Dupe mansa :
Mgogo wewe ni mtumishi wa Mungu,ubarikiwe nakufwata kutoka DRC
2026-11-17 03:01:00
5
qalbi :
pastor wakwanza Dunia anajielewa
2026-11-16 21:51:32
5
To see more videos from user @clemence.mwandambo, please go to the Tikwm
homepage.