mwanaume naweza kupata mwigine ila baba siwez kupata mwingn mamaaaeee baba ang kanilea vyem sana
2026-11-17 05:52:56
167
emmyalimas :
me ntakuwa upande wa baba
2026-11-17 05:43:52
109
man mpole :
yupo sahihi lakn
2026-11-17 09:36:44
6
said J A :
niswala la mda tu iposiku
2026-11-17 06:03:21
6
mwana :
kwenye kikao chetu hatukujuwi mwanetu
2026-11-17 13:26:29
20
young nyassu :
mim nataman hata baba yangu angekuwa hata chizi au ninge onyeshwa hata kabuli ningekuwa naenda ongea kabulin lakin sijui yupo wap kwasbsb natamn hati ninge muona ila sina uwezo uwo ila nampenda sana baba yangu japo hayup na sijui chochot
2026-11-17 05:44:37
18
patyma💞 🇹🇿🇴🇲💞 :
Simpend bab ila kupigwa na mme wang sio kwel
2026-11-17 09:14:02
19
sham dear :
pain but not having pain killer
2026-11-17 16:26:04
0
+255 :
inabidi tumchunguze[Tears of joy]
2026-11-17 16:42:46
0
Sauda Walale :
BABA EVER[Gesture OK][Gesture OK]
2026-11-17 12:42:13
0
moswaga_tz :
kuna namna wababa tunachukiwa na watoto wetu ila sababu hasa ya sisi kuchukiwa nikwasababu hatupendi kuitoa ya moyoni kuwaambia watoto wetu ila mama nirahisi sana kutoa ya moyoni nakuongeza chumvi inayopelekea watoto watuchukie.
2026-11-17 06:06:39
9
Rooney Kiwelu :
hawa wanamaumivu moyoni.
2026-11-17 08:54:52
6
Prosper, JN ✅️ :
Huyu ni kweli anampenda sana baba yake ila ana hasira nae tu
2026-11-17 07:56:22
7
mary :
ooh my God
2026-11-17 17:37:52
0
Its didi 🖤 :
Wanapigana kisa nin kwanza😂 me ntaangalia kama sipo siwezi kuingilia ugomvi wa viongozi
2026-11-17 05:30:46
8
❤❤shykunee :
kha nachoka
2026-11-18 05:37:10
0
mamy :
kwa jinsi ninavo mpenda babaangu weeee mume tutakupiga mimi na baba mpaka ukome🤣🤣🤣ninajua vituko vyetu tukiwa na baba weeeee nampenda babaangu kili
2026-11-18 07:25:41
0
bobby'z :
yupo sahihi koz tayari alishatoka kwA baba yake na ameenda kwake kwa asili
2026-11-18 07:36:12
0
HELSA ELEGANCE 🛍 :
thubutu
2026-11-18 04:38:29
0
sinyorita🥰 :
me baba angu kwanzaa nampenda vip
2026-11-17 20:33:22
0
Mary Mary :
🙄🙄🙄🙄
2026-11-17 09:42:07
1
Mama G :
baba angu bila yy huyo mume a ngeniona
2026-11-17 14:12:49
0
Savinho junior 🍁 :
hapo Kuna mambo hayo ✌️✌️✌️✌️✌️✌️
2026-11-18 03:34:39
0
Neema Mg :
kabis jamn yan
2026-11-17 15:31:24
0
Jacque :
eti sio kwa Ubaya ni kwa Ubaya 😂😂
2026-11-17 17:37:06
2
To see more videos from user @prince.fwany, please go to the Tikwm
homepage.