@greatmindtv_: 😂😂😂#GreatMindTV #greatmindtv #Mafundisho #JifunzeKilaSiku

GM TV
GM TV
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 17 November 2026 01:32:55 GMT
141732
5814
2399
1175

Music

Download

Comments

kusigirl1
kusigirl1 :
Nikisema nivae alicho ninunulia nitatoka uchi 😂
2026-11-17 10:28:52
325
user9853920395567
shackhbaby :
moja.......[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-18 14:08:59
0
doomoney7mar8am127
mso sony :
sijawai ata siku moja natafuta wakuninunulia[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-18 13:36:48
0
user6123090229298
user6123090229298 :
Mimi nimenunuliwa dozen ya chupi na mume wa mtu
2026-11-17 11:34:15
75
alamokagabriel
Just Shamy 🌹 :
Kumbe kuna kununuliwa na hamsemi…..?😃😃😃
2026-11-18 11:11:05
10
nalupare
Nalupare :
mimi sijawahi na nipo kwenyr ndoano huu mwaka 23
2026-11-17 05:39:38
75
user8154439382323
😇🥰 :
mm karbu xote
2026-11-18 14:16:00
0
rukiihidma3
Shee💞💞Shazz💞💋🫂 :
Mingi saana[Twin hearts][Twin hearts]🫂
2026-11-18 11:07:58
1
user3552520079190
Mama Muuza Gesi Uyole Mbeya :
yaani sijui bei ya chupi,wala viatu wala nguo zangu hata za watoto sijui mimi,ananunua mwenyewe kwakweli namshukuru Mungu kwaajili yake.
2026-11-18 06:54:24
17
user3098800157812
user3098800157812 :
mm nguo zote ni yeye ananunua
2026-11-18 02:05:02
5
deborasamuelwm
Debora :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Nitarudi badae
2026-11-17 01:46:25
3
precious.mumy8
Precious 💕 mumy :
Mhhh ntatembea na chupi Moja mwaka mzima
2026-11-18 04:38:23
12
user48409250626
coletha 🇹🇿 :
jaman wanawake ambao bado hamjaolewa wacha niwambie mm bado sijaolewa lakin ushauri wangu ni kuwa usikubali kuolewa na mwanaume anakwambia acha kaz nikuoe usikubali kabisa olewa ukiwa na kaz yako na unauwezo wa kujihudumia ni ushauri2
2026-11-17 12:16:52
18
love..family6
LOVE..FAMILY❤️❤️ :
mmmmmh
2026-11-18 13:45:20
0
zena.salim82
Zena Salim :
nikiitwa nipeleke hata kitambaa cha kamasi uwiiii nakufaaaa😂😂😂
2026-11-17 09:43:17
15
kissesandmartini010
Healthy melissa :
Nyingi saana hazina IDADI..Namshukuru Mungu wangu..MUME wangu akiona nguo Nzuri tu ,ananifikiria mimi kwanza ..nguo,viatu,simu ikitoka tu iphone mpya nanunuliwa ..🙏🏻🙏🏻
2026-11-17 18:24:13
7
jasonbaraka87
Jasonbaraka87 :
Wangu siwezi esabu ananunuwaka nyingi sio yola moja ni tano kupanda na machupi nanguo za kulala akiona kitu kinamfuraisha lazima atanileteya sijawahi omba nguo kwa mume wangu Mungu aendelee kunilindiya aye na kumbariki ❤️❤️❤️
2026-11-17 10:29:51
7
cellinemoris
MIMI STORE🥰🥤🍿🍬 :
bhaaaaaass!!!🙌🙌🙆
2026-11-18 08:42:51
0
zaylii6
mom🦋 Rayan 🦋 :
uwiiiiiii jaman nimenunuliwA nilivo kuwa na mimba tena vijora na nguo za kuendea kujifungulia nilivo jifungua to hata hongera cjapewa
2026-11-17 15:18:49
5
minnalishlina
Meerah💜 :
C Wengine Tutavaa ujasiri Wa Kusema Hajawahi n nunulia
2026-11-17 15:03:50
5
user958008042732
Raphaera :
tena akinunua yeye ananunua vya bei akinipa ela nabana nanunua ya bei ndogo
2026-11-17 08:32:30
13
mayrahearth3
@mayrah earth 670 :
mimi sijawahi kununuliwa
2026-11-17 09:43:16
5
princessjayden0
Princess Jayden ❤️ :
Hata hajawah kuninunulia ata chupi ya 500😩🥹🥹
2026-11-17 06:28:56
9
yusternyirenda
yusternyirenda :
Kwani namba inayoanza kisha unafata namba 1 ni namba ipi? 😌😌 nisaidieni jamani huwa nina tatizo la kupoteza kumbukumbu 😂😂😂
2026-11-17 08:20:33
7
brenda67483
Brenda🦋🥰👑🥰 :
Aaah huyu wangu anapepo yake🥰 nguo nying yeye ndo ananinunulia cjui pafyum pochi ni huyu mu baba wangu🥰 na ananijulia vep🥰 Mungu amuwek kwa ajili yangu🥰🙏
2026-11-18 04:21:00
1
To see more videos from user @greatmindtv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About