@kwamboka.twinflamecoach: kosa kubwa ambalo divine feminine wengi hulifanya , ni kufikiria kuwa siri ipo kwenye kufanya kazi kwa nguvu.hapana!siri ya nishati ya kike ni uvutio(magnetism).huwezi kuvutia pesa kama macho yako yapo kwenye simu ukiangalia kama divine masculine amekublock au LA!hatua ya kwanza ni kumtoa kabisa kwenye akili yako na uelekeze akili yako yote kwenye wazo la biashara au ujuzi wako .hapo ndipo unaanza kuingia kwenye uvutio.je, bado unamvizia mtandaoni?kuwa mkweli kwenye comments na follow👇kuelewa zaidi safari ya nafsi pacha#woundedfeminine #twinflameseperation #swahilitiktok #tiktokkenya