@mbona_sasa: Jina la nchi yetu… liliandikwa na mgeni. 🇰🇪👀 1849, mmishonari Krapf anauliza Chief Kivoi, "Huu mlima unaitwa nini?" Wakamba wanasema Kiinyaa, Wakikuyu Kirinyaga, Embu Kirenyaa… na yeye anaandika "Kenia." 📝 Wazungu walikuwa wanasema "KEE-nya" mpaka Uhuru ikabadilisha matamshi. Sasa ni KE-NYA. 🔥 Kwenu mlima unaitwa aje? Tuambie kwa comments 👇🏾 #Mbona #KenyaExplained #Kenya #MountKenya #Kirinyaga