@tibelatk: Wanaume mjue kutofautisha kati ya kupendwa na kufanywa kitega uchumi! Ukioa mwanamke mwenye watoto 2, 3 au 4, atakuwa mtiifu na kufanya kila unachotaka kipindi watoto wake bado wanahitaji msaada wako. Ila siku wakikua tu, rangi zote halisi zitaanza kuonekana. Je, huu ni ukweli au ni mtazamo tu? #TibelaKT #NdoaNaMahusiano #MaishaHalisi #UshauriWaMahusiano
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] asante
2026-11-18 00:21:10
0
Ziza :
uongo
2026-11-18 05:12:50
0
Kennedy sule montary :
try at your own risk
2026-11-18 10:18:15
0
Fungile :
dada mbona umeniogopesha
2026-11-17 13:17:54
0
user5917700113563 :
Mi nnae natunaelewana vzr tena wanae wananipenda baba yao kuliko hata niliowazaa
2026-11-17 12:44:31
4
MYKThe Legend :
Ilinitokea mimi...nilipata mwingine akiwa na vitoto vichanga after 6 years na watoto wake wakawa wakubwa alianza kuniita mimi mchawi...i will never forget😂😂😂
2026-11-17 10:54:35
3
Jobless Millionaire :
Ni kweli kabisa imetokea kwangu.
2026-11-17 15:37:12
1
Dalali wetu :
fact boss
2026-11-17 12:36:52
0
Toto JoJo😜😘 :
sio kweli, Mimi nko financially stable single mother of 3 na nahitaji mume, na nishatengea tayari watoto wangu uridhi
2026-11-17 14:14:16
1
OMMY STAR ⭐ BOY :
dada Angu nakupenda Yani umenyooooka😂
2026-11-17 09:07:50
0
KadwekaJr :
Exactly 💯 percent, yalinikutahayo
2026-11-18 08:00:57
1
clever 999🇹🇿🇿🇲🇨🇩 :
sas mwanamk mweny watot wanne unategemea kitu gan kwake
2026-11-17 07:53:17
1
Mamaa♥️🦋 :
Hata mmoja[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-17 16:57:24
2
Subira Khatbu :
sio kweli
2026-11-17 07:14:00
0
Asmahani Yussuf :
ss mbna unatukimbizia riski usiseme ivo,unaona mpk mwanaume alikuwa anataka kunioa na sasa amegairi alipoona hii video😭
2026-11-17 05:22:04
0
Dickson :
mungu akueke mamaaaa popote ulipo kwaku elimisha vijana uku nje
2026-11-17 11:10:46
3
iddimadrid :
hata mkeo wa ndoa anapofikisha watoto watatu pia mapenzi yanapotea kwa mume hiyo ni kawaida tu
2026-11-17 18:51:02
3
user5877618881112 :
unasema ukweli mamaa mimi yashanikuta jamani 😂😂😂
2026-11-17 19:19:56
1
Yasser :
Dada wa nchi
2026-11-17 12:54:51
2
Xymera :
una data za masingle maza wangapi mbaka uka conclude hivyooo
2026-11-17 07:52:13
1
rama kitendo :
nikweli kabisa
2026-11-17 11:45:44
1
IDDY :
MAMA ASANTE SANA JAMANI
2026-11-17 16:03:22
1
wiz. :
asante san
2026-11-17 07:09:49
1
The grace of God :
Je akiwa na watoto wawili au mmoja apo kuna mapenzi?
2026-11-17 11:11:44
0
kaizilege Mahmood :
khasante dada
2026-11-18 12:21:13
0
To see more videos from user @tibelatk, please go to the Tikwm
homepage.