@erickhilal2: +255627184723 #drccongo🇨🇩🙌🏾 #lubumbashi🇨🇩 #kinshasa🇨🇩 #uviratiktok🇨🇩 #tanzaniantiktok🇹🇿

DR ERICK NA WATOTO
DR ERICK NA WATOTO
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 November 2026 07:21:13 GMT
12532
173
31
11

Music

Download

Comments

btryb1
BTryB :
mnazidi kunichanganya tuu
2026-11-17 14:06:08
2
babyfeyaa
Baby feyaa🥰 :
me wangualikata kutamba mpaka miez nane kaunganisha kutembea miez 9 kwa kushikilia vitu
2026-11-17 12:46:42
3
silayodianagoodlu
lilii😘 :
wangu ana 8 ajatambaa ila anatembea na kiti
2026-11-17 16:07:16
0
janeaisha8
janeAisha :
wang miezi 11 hatambai hainuki mfano kalal amke akee mwenyewe hawezi 🥹🥹🥹 ila ana simamia vitu
2026-11-17 20:24:26
0
fatumamuhammad682
Mrs muuh❤️ :
wangu ana miez mitano kasoro lakini hatak kukaa
2026-11-17 13:09:35
0
cathe1721
Cathe :
mimi wangu anamiezi 7 na week 3 ameanza kusimama mwenyewe bika kushikilia ila sio kwa muda mrefu ndo anaanza
2026-11-19 08:27:57
0
mtoto351
goma rakiparwa :
kama wangu huyu
2026-11-17 08:35:58
0
user3393349210818
merry mtui :
wangu ana saba na nusu hatambai ilaa anasogeaa kamaa na makalio unamuwekea kitu unashangaa ashaa sogea ulipo muweka mwanzo na alipo tofaut
2026-11-21 19:51:18
0
neytemba673
mom neno😜🤗🥰 :
kwan mtoto miezi hiyo kutambalia tumbo tena umbali mrefu na kushikilia kituanasimama kuna shida nkimanisha kutambaa bila kutumia magoti
2026-11-18 09:26:33
0
numbe6691
Zaituni :
Hana tatizo lolote mwache atatambaa mwenyewe msianze kumkorokochoa
2026-11-17 12:25:33
2
pendotz
Pendotz :
Mmmh nyie ndo mnatidha watu kwan anashid gan huyo mtt
2026-11-17 13:34:58
1
nora04690
123a@# :
utafanya nini nani kakuambia amechelewa
2026-11-17 12:33:52
1
uniquegreth5
uniquegreth :
mpunguze kuchanganya watu khaaaaa 😂😂😂 ila mitandao unaweza tembea peky
2026-11-18 15:37:12
0
To see more videos from user @erickhilal2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About