uyu kaka mtata uyu dada ni mtu mwema sana ila alivumilia mengi san...mwachen atulize kichwa chake msimlazimishe
2026-11-17 08:01:51
83
Pata_kuku_wa_kienyeji :
demu mwenyewe sasa anaehangaika nae ila hii Dunia 😂😂
2026-11-17 09:17:30
136
That-zyra❤️ :
Mtu si apewe anachotak jmn 😂
2026-11-17 09:15:41
80
dotto27 :
Dada hapo ndo ulikosea jamn mtu anaitwa Imma
2026-11-17 09:40:48
20
pretty dayana :
we kaka[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-20 19:29:10
0
AFRO BAND 🇹🇿 :
Emma why😂
2026-11-21 07:22:28
0
Juma Halifa :
huyu anamtu anamdanganya lakini jamaa akikaza akimpa uo uhuru hatauyo anayemdanganya atamkimbia
2026-11-17 10:33:41
24
Kanky Mwaigomole. :
Mwanamke akichoka kachoka,usilazimishe
2026-11-17 09:41:19
84
deorgatius :
mm mwanamke akisema tuachene hata kwa bahatimbaya hiyo ndoa inakufa siku hiyo hiyo
2026-11-17 12:23:49
36
user5466919295337 :
najua kaka maumivu unayo pitia nayajua 😭😭😭😭😭😭
2026-11-17 08:50:18
45
mary :
huyu dada ni mm na huyo ima ni ex husband wangu ,wanatufanyia vituko tukimove on dunia inatuona ss ndio wabaya ,talaka zipo mm mwezi wa 8 talaka yangu imetoka mahakamani asante Mungu
2026-11-18 05:19:24
9
@nana Ima :
eeeeeeheeeeeee Ima tenaaaaaah!!!! mama kimbiaaaaaaaa
2026-11-19 15:37:35
0
Moneth Collection :
atimae kina Emma wamepatkana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-17 11:43:20
42
Mamu ❤️🌹 :
ila jina tu emma me siwez nina.istoria na emma
2026-11-17 10:17:41
6
Mainno_17 :
bro unachapiwa anapenzi jipya huyo achana nae
2026-11-17 10:50:54
20
Rama seif :
mimi ctaki mke dunian
2026-11-17 16:41:46
8
GloryG💞 :
baraza la usuhisho wa ndoa
me mbona nilipewa na aliekuwa amenioa kashaoa na ana watoto wawili
2026-11-17 09:42:41
15
mayasa :
emanuel,,,emma@[Tears of joy]
2026-11-18 16:51:03
0
user17653357994672 :
Mwisho munauwana achaneni,
2026-11-17 08:46:09
9
Flavian K Red :
inayotoa taraka ni mahakama, sio kanisa.. ukienda mahakaman unapewa taratbu zote na ndoa inavunjika. Ndo maana chet cha ndoa kimeandikwa Jamuhuri ya Tanzania na sio Kanisa Katorik 🥺
2026-11-17 13:34:29
5
Kisanduku tz :
Sasa apo mm sion shida mtu anataka kuachwa muache
2026-11-17 08:51:49
6
Josephine 😘💞💞🙏👨👩👧 :
kaka njoo kwanguuu mwayaaa
2026-11-17 08:14:52
6
roja ferooz :
daa yani wanawake bhn yani hii nimeiangalia zaid ya mara tatu
ila uislam ndio dini pekee duniani et hata mtu kakukosa kosa kukuua hutakiwi kumuacha
2026-11-19 09:02:40
0
Senye Apangaye :
kwenye maisha akuna kitu kinachomtesa mwanaume ni kuzaa zaa ndiomana unaweza kuona jamaa anakazi anaanfalia atimaa ya watoto wake n.k
pia unaangalia mambo matatu ya msingi ulizo wekeza kwa mke wake
1.muda wake
2.pesa na uwekezaji
3. pia uenda aligombana na baadhi ya familia kwenye kumuowa huyo kwaiyo saiz anajiuliza ataanza je
2026-11-18 10:12:33
0
sevelina302 :
jamani mpeni mtu anachotaka.
2026-11-19 07:02:29
2
To see more videos from user @ivan_oneseven, please go to the Tikwm
homepage.