@hubofwisdom.inc: "Halafu kuna mwanamke hajielewi anagombana na mume wake. Kwanini ugombana na mwanaume wewe? Wanaume sio wa kugombana nao. Mungu ameweka kitu ndani yako ambacho kitamfanya akupende siku zote." Anasema Madam Debora Urio akifundisha kuhusu ndoa Mwanamke ana ushawishi mkubwa katika kujenga mazingira ya amani ndani ya ndoa na familia. ❤️ Si kila jambo linahitaji ugomvi, lawama au mabishano. Wakati mwingine, hekima ya kuchagua maneno, kujua wakati wa kunyamaza, kusikiliza na kushughulikia tofauti kwa utulivu inaweza kuokoa mengi katika ndoa. Jifunze kuutunza moyo wako, kuwa na amani ndani yako na kutumia ushawishi wako kujenga badala ya kubomoa. Kumbuka, amani ya ndoa haimaanishi kutokuwepo kwa changamoto, bali ni uwezo wa kukabiliana nazo kwa upendo, hekima na kuheshimiana. Angalia kupitia H.W TV kwa njia ya YouTube, kisha tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media #Ndoa #Mahusiano #Wanawake #Familia #Thewisetz

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 November 2026 08:01:48 GMT
114155
3942
118
580

Music

Download

Comments

officialjoy412
officialjoy :
mama kama umepata mwanaume anaejielewa mshukuru mungu sina mengi zaidi
2026-11-17 09:21:04
88
its.sophie87
it's sophie :
mama hatuwezi kuongelea biashara 😔🙌
2026-11-17 11:47:35
26
user7853059555262
Deborah :
nakupenda sana mam
2026-11-18 19:51:12
1
moreen1887
Moreen :
Hakuna wanaume siku hizi mama kama wako yupo vinzuri endelea kumwombea
2026-11-17 09:44:37
11
hilda07155454
HEM :
unazungumzia wanaume wa mkoa gani?
2026-11-17 13:56:49
4
hitsam.kisuda
Hitsam kisuda :
Kuna wanaume walionyoka kwel au nyie wenzangu Mungu amewapendelea🤝
2026-11-17 17:40:04
3
happy..aron
Happy Aron :
Had Mungu anamshangaa anazungumzia wanaume wawapi wa duniani au wa mbinguni😭
2026-11-17 13:33:37
5
velina_kanana
velina_kanana :
kila mtu anatamani iwe hivyo lakini jmn mmmh
2026-11-17 18:30:14
4
queen.sacova
Queen sacova :
nashindwa kuelewa
2026-11-17 16:53:52
2
user842181813546myself
💦dream girl 🥀💞 :
Co kwa wanaum wa sas na matukio yanatofautian mam
2026-11-18 18:07:18
1
mamu.ivana
Mamu Ivana :
Sina Cha kuongea lakin mama mshukuru mungu kwa yote sis wengine mungu bad anatufikria one day tutakuwa kama wew🙏
2026-11-18 10:15:49
2
estherjj371
Esther Jojo Beauty💋 :
Siwaamini watu mana mnajua kutoa ushauri kwa wenzenu kwenu kuna waka moto🔥
2026-11-17 10:06:11
14
minmimah59
minmimah59 :
Sasa mama Mimi sijielewi kila nikimwambia mume mahitajinya nyumbani anatafuta sababu ya ugomvi, ss Nani hajielewi hapo bi mkubwa
2026-11-17 10:41:58
4
peninachiza
Penina Chiza :
usitudanganye acha sifa 😁😁😁😁
2026-11-17 12:53:59
2
user8567374198616
glady :
unamfanyiag mme wako mway
2026-11-17 10:34:26
3
moreen.edmon
Moreen Edmon :
AYA SASA USHAURI WA NDOA UNATOSHA ....TUTAFUTE UFAMLE WA MUNGU MENGINE TUTAZUDISHIWA
2026-11-17 17:00:58
2
isayangoiva
isaya ngoiva :
watu wanajeraha ila nawaambia wanaume wapo sahihi na wanawake wapo sahihi
2026-11-17 18:29:21
3
defrinemgini
defrine :
mmh
2026-11-17 16:31:31
2
winnie.eyes
💞Winnie💕 Eyes 👀shenaiza💕 :
ngoja tu nicheke😅
2026-11-17 10:00:46
4
2001twosev
mama boy💨🌸 :
ushasema huyo adam saiz tupo na akina juma
2026-11-18 17:00:44
1
mussa_husseni586
mussahusseni586 :
kwelii
2026-11-18 04:45:36
1
user6846965516207
geey nathan :
mh wew kuwezaaa
2026-11-18 15:27:13
0
lash.brows.mbeya
LASH & BROWS MBEYA :
2026-11-17 16:48:26
1
juliana.manamba
Juliana Manamba :
Acha
2026-11-17 09:16:56
3
happy..aron
Happy Aron :
Mungu atusaidie maana had wale wachungaji tunaowategemea wahubir neno la Mungu wengi ukiwasikiliza unakuta sana sana wanapandikiza chuki.nasio habar za upendo Tena maana biblia inasema upendo utabeba madhaifu ya mwenzio.kama hamna upendo Kila atakachokifanya mwenzio nikibaya ndipo vita inaanzia
2026-11-18 08:32:41
1
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About