@nexus_gametalks.tz: Watu Wana Dhani Rockstar Games wamefanya kusudi game ya GTA VI ku play Kwa 30fps 😆😆😆 #foryoupage #fyp #foryou #fyppppppppppppppppppppppp #gtavi
Simple bro ni hardware limitations ivo.. Ps 5 zinarun processor ya mwaka 2020…so it won’t manage it
2026-11-18 19:21:59
1
Jenja :
hizo zote mbwembwe ila technically, consoles zitakuwa na mda mwingi wa kucalculate each frame at 30fps kuliko more fps from there.
2026-11-19 14:42:42
0
Moneybag360 :
kwhio mtu anaspend karibia $800+ kwa fps 30 [Big LOL][Big LOL][Big LOL] mm sina haraka nayo hio coz nitalicheza kwa zaidi ya fps 60 na ultra/high ten nitaliinjoi viby sana ngoh kwanz wamaliz project yao ya PC watuwekee kule steam [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-17 09:20:07
1
HASHEEM :
sababu watu wa ps 5 na xbox 😂😂😂rock stars wanawaweza🤣
2026-11-17 08:20:26
16
OneTime :
ni maksudi rockstar wameamua mpango wao na sony ili ps6 mwakani ziuzwe nyingi iyo ni marketing strategy
2026-11-17 14:02:57
5
isra.lisa1 :
thanks
2026-11-20 08:46:51
0
Deer :
je Kwa mobile zenye uwezo mkubwa
2026-11-17 10:17:40
0
emmaxendru1 :
Wajichanganye watoe Pc version wamekwisha na quality yoote io lkn bado tutawasha DLLS5😂😁 + RAY TRACING ON kuongeza uhalisia kabisa
2026-11-18 17:16:41
1
moseyy :
safi mzee hapa wasubiri ps6 tu kama gta 5 kwa ps3 zaman
2026-11-20 04:39:58
0
David Walker :
nakubali bro maelezo yamenyooka sana
2026-11-18 07:32:18
1
GORO :
watupetu utaona kama aijacheza kwenye 120FPS
2026-11-20 04:09:39
0
Raul5official :
ndio maana awajatoa CD yake kaka
2026-11-17 13:28:29
1
Saed_🎮 :
Ps6 ndio itkuja kua 60 fps.
2026-11-17 13:30:12
1
BadBunn4941L :
next video ongelea jinsi wahuni washanza cheza GTA 6 kwenye PC on 60fps na haijatoka 🤣🤣🤣
2026-11-19 02:13:46
0
Stick _ man020 :
ps5 tu [Heartwarming]
2026-11-17 18:21:43
0
tweny two :
kiufupi hardware za console haziwez kumudu ku run game la GB 200+ mpaka walete ps6 na xbox nyingine
2026-11-17 15:28:09
1
Its Abdull ✌️😜 :
MIM SIONI KAMA KUNA BAYA KWENYE FPS 30 MBONA BADO NI ENJOYABLE BRO
2026-11-18 09:04:56
0
FreshKid Gaming :
Point
2026-11-17 18:30:22
0
Common Boe :
Let's meet In the middle 😂😅 Quality/Performance 🔥🔥😁
2026-11-17 18:06:15
0
Ramadhan :
auna ps 5 mkuu
2026-11-19 13:03:04
0
Aduda_jr :
we kiumbe🙌
mim mtupu huyu
2026-11-19 22:11:14
0
lil_erick🤱🏾 :
🔥🔥🔥
2026-11-17 14:37:39
0
DENNIC :
[Fire][Fire][Fire]
2026-11-20 05:33:45
0
To see more videos from user @nexus_gametalks.tz, please go to the Tikwm
homepage.